Beatrice Shelukindo apokea vitisho

mama anatafuta umaarufu kwa moshi na vumbi

Ili ndio tatizo kubwa la CCM wakiona mtu yupo kwa maslahi ya taifa wanasema anatafuta umaarufu. Na wasiwasi wao mkubwa ni kwamba waajili wao wakishavutiwa na mpigania haki basi hawana chao!!

Kobe huwa hajivui gamba bali ni nyoka.
 
bado tunasonga, mbivu na mbichi zitajulikana! waanzie popote si tunataka nchi irudishwe kwa wenye nayo(wananchi). tunashukuru mkuu ndugu Sheru mwenyewe kwa kutusaidia kufika mbele zaidi whether unajua au hujui, gamba linahitaji maji moto ya ziada!
 
Ili ndio tatizo kubwa la CCM wakiona mtu yupo kwa maslahi ya taifa wanasema anatafuta umaarufu. Na wasiwasi wao mkubwa ni kwamba waajili wao wakishavutiwa na mpigania haki basi hawana chao!!

Kobe huwa hajivui gamba bali ni nyoka.

wewe hujui huu mchezo umeanzia wapi, mama hapa amedandia train kwa mbele kupata umaarufu tuhuma za hongo tumezisikia miezi sasa imepita, mnyika na january walimwaga mboga siku nyingiiii, usikubali kuingizwa mkenge kirahisi na magamba these are strategic moves.. kalagabaho 2015
 
Pamoja na suala la bi huyu kufichua maovu makubwa ya wizara ya nishati na madini mbele ya jamii ambayo imepelekea kusimamishwa kwa katibu mkuu wake na shinikizo la kujiuzuru jwa waziri na naibu husika, je hili si kosa kwake yeye bi shelukindo kumiliki nyara za selikari kinyume talatibu zinavyntaka... Je sheria inasemaje kuhusu hili, au kwakua ni mmoja wa wanamtandao.!!! Vp kama moja wa member wa upinzani ndo amgekua na nyara hizo.!??


Sheria inakulinda kama una ushahidi ambao unao bila kujali kama kuna uhalifu ulifanyika kupata huo ushahidi..
 
Hamna lolote hapo. Kajiandikia mwenyewe ili apate watu kwenye maandamano yake na Lowassa.

Hiyo habari ya Bahasha hata Mnyika alikuwa nayo kitamo ila yeye alipata barua tu na kusoma ambacho tulishasikia.

Mkutano wenyewe naambiwa kuna uwezekano mkubwa Lowassa akawa mgeni RASMI. Mtu aliyesaidia kuleta RICHMONDULI badala ya kuleta umeme wa kuaminika na leo ni giza.

HATUWAAMINI MAGAMBA WOOTE HAWA. Inabidi aturidhishe vya kutosha kuwa kweli kabadilika.

Kwanza hiyo barua inaonekana walikuwa nayo wengi, hata Ole Sendeka alitangulia kusema naye anayo. Hiyo issue inaonekana imetengezwa kimkakati kwa watu fulani kujinyanyua.
 
Shellukindo: My life is in danger
Friday, 22 July 2011 22:24


The Citizen Reporter
Dodoma.

Kilindi MP Beatrice Shellukindo says she has received death threats after accusing the Energy and Minerals permanent secretary of fraud and corruption.The CCM parliamentarian said she had received several threatening messages on her mobile phone from unknown people, adding that she had reported the matter to the police and asked for protection.“I have received many congratulatory messages from within and outside the country since producing the letter in Parliament. What worries me, however, is that I have also received text messages from anonymous senders threatening me with dire consequences,” Mrs Shellukindo told state broadcaster TBC1. She added that she called the numbers, but they were not reachable.

Mrs Shellukindo said, however, that she was not afraid. “I am not afraid because I believe in God… I believe I did the right thing, and my aim was to help our nation to overcome the power woes…I did what I did in good faith,” she said.But Mrs Shellukindo told The Citizen on Saturday yesterday that she did not wish to discuss the threats further. “Let’s just leave it at that. I don’t want to comment further,” she said.

Meanwhile, the acting Clerk to the National Assembly, Mr John Joel, said Mrs Shellukindo had not yet formally lodged a complaint with his office. The Dodoma regional police boss, Mr Zelothe Stephen, could not be reached for comment yesterday.

Mrs Shellukindo’s death threats claims come a few days after she produced a letter that she claimed was sent by Mr Jairo to institutions and agencies under the Energy and Minerals ministry, directing them to contribute Sh50 million each towards facilitation of the
approval by Parliament of the ministry’s 2011/12 budget.

The government has sent Mr Jairo on compulsory leave, pending an investigation into the allegations. Chief Secretary Philemon Luhanjo told a news conference in Dodoma on Thursday that a team led by the Controller and Auditor General would investigate Mr Jairo, after which his fate would be known.

A State House statement said yesterday that Mr Eliakim Chacha Maswi had been appointed acting Energy and Minerals permanent secretary. Mr Maswi moves from the Prime Minister’s Office, where he was working as a deputy PS for local government.

Mr Jairo’s troubles began on Monday when Mrs Shellukindo produced the letter when debating the ministry budget estimates, which were later withdrawn after MPs from both sides of the House spoke out strongly against the budget
Mrs Shellukindo said at least Sh1 billion was irregularly raised and spent as a result of Mr Jairo’s directive.

“The ministry has successfully prepared the 2011/12 budget estimates, which have already been approved by Parliament’s Energy and Minerals Committee. In finalising the process, the budget speech is expected to be tabled on July 15 and 18,” reads part of the letter.

The letter, signed by Mr Jairo, further says, “As has been the case during the presentation of the budget speech in Dodoma, officials from the ministry and institutions under it accompany senior leaders to assist them in making clarifications during debate.”

“In order to facilitate the smooth tabling of the budget you are requested to contribute a total of Sh50,000,000. The money should be deposited in the Geological
Survey of Tanzania (GST) account No. 5051000068 NMB, Dodoma Branch. After the cash is deposited, the ministry should be informed through the DP (director of personnel) for coordination. Thank you for your cooperation,” says the letter titled ‘Contribution towards finalisation of preparations and tabling of the ministry’s 2011/12 budget in Parliament in Dodoma’.

Mrs Shellukindo, who prayed for God’s protection before making the revelations, said the ministry had 21 departments and institutions under its wing. They include Tanzania Electric Supply Company (Tanesco), Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) and State Mining Corporation (Stamico).

Mrs Shellukindo later told reporters that investigations had established that the money had already been withdrawn. Prime Minister Mizengo Pinda said when announcing the government’s decision to withdraw the budget proposals that the allegations had shocked him.

“I was shocked to hear the report, and I am going to inform the President, who is the appointing authority,” Mr Pinda told Parliament.Following the revelations, political leaders, civil society organisations, anti-corruption campaigners and academicians stepped up the pressure on Energy minister William Ngeleja and his deputy Adam Malima to take political responsibility and resign over the corruption allegations.


 
Bado nasema ile barua ina utata. Haina kumbukumbu namba wala folio namba. Ni ofisa gani wa serikali atatenda kwa barua kama alotusomea BS pale mjengoni akidai imeandikwa na DJ?
 
Bado nasema ile barua ina utata. Haina kumbukumbu namba wala folio namba. Ni ofisa gani wa serikali atatenda kwa barua kama alotusomea BS pale mjengoni akidai imeandikwa na DJ?
 
onyesha okomavu siasa ni kujitoa mhanga vitisho havisaidii
 
whistle blower wa skendo ya Phone Hacking UK alikufa ghafla! yule ambaye amesababisha gazeti kubwa tena la miaka mingi Uropa na Marekana limefungiwa linalo milikiwa media tycoon mudoch. Huenda hata Betreace anaogopa!lakini usihofu Mungu atakulinda kama motive yako ni nzuri,maana mungu huangalia motive behind lakini sisi wanadamu tuna angalia nje tu.
 
Pamoja na suala la bi huyu kufichua maovu makubwa ya wizara ya nishati na madini mbele ya jamii ambayo imepelekea kusimamishwa kwa katibu mkuu wake na shinikizo la kujiuzuru jwa waziri na naibu husika, je hili si kosa kwake yeye bi shelukindo kumiliki nyara za selikari kinyume talatibu zinavyntaka... Je sheria inasemaje kuhusu hili, au kwakua ni mmoja wa wanamtandao.!!! Vp kama moja wa member wa upinzani ndo amgekua na nyara hizo.!??

Mpishi hakimbii moshi.
 
Sidhani kama vitisho vinasaidia. hapa amefanya jambo la msingi na lenye tija kwa taifa zima. sasa vitisho havisaidii, pia ninavyoelewa hawa watu wa lushoto, hawawezi kumfanya kitu.
 
David Jairo amefanya kile ambacho siku zote kinafanyika huko serikalini sasa kwanini mmemfanya mbuzi wa kafara?ingekuwa serikali haifanyi haya madudu kwanini hakuna umeme?Historia itawahukumu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom