Beatrice Shelukindo apokea vitisho

Junior. Cux

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
5,319
3,767
Pamoja na suala la bi huyu kufichua maovu makubwa ya wizara ya nishati na madini mbele ya jamii ambayo imepelekea kusimamishwa kwa katibu mkuu wake na shinikizo la kujiuzuru jwa waziri na naibu husika, je hili si kosa kwake yeye bi shelukindo kumiliki nyara za selikari kinyume talatibu zinavyntaka... Je sheria inasemaje kuhusu hili, au kwakua ni mmoja wa wanamtandao.!!! Vp kama moja wa member wa upinzani ndo amgekua na nyara hizo.!??
 
Yaani nampongeza sana huyu mbunge kwa alivyoamua kuongea ukweli pale bungeni Dododma kwa masilahii ya Taifa.

Njoo hapa Kibaha Mailimoja nikufunde na nikupe siri nyingi za kupambana na hao mafisadi papa ! Karibu sana !
 
Siku chache baada ya kuibua uozo unaofanya na wizara ya nishati na madini, beatrice shelukindo ameanza kupokea vitisho ambapo ameseMa amekua akiandikiwa sms na kupigiwa simu na watu zaidi ya sita kumpa vitisho...alipokuwa akihojiwa na TBC amesema amekua akipokea vitisho kwamba ataiacha siasa muda si mrefu na watamtafutia zengwe wammalize kisiasa au kukatisha uhai wake...amesema amewasiliana na makampuni ya simu kutaka kujua wamiliki wa hizo no. lakini ameambulia patupu....source Tbc news 20:00
 
Hamna lolote hapo. Kajiandikia mwenyewe ili apate watu kwenye maandamano yake na Lowassa.

Hiyo habari ya Bahasha hata Mnyika alikuwa nayo kitamo ila yeye alipata barua tu na kusoma ambacho tulishasikia.

Mkutano wenyewe naambiwa kuna uwezekano mkubwa Lowassa akawa mgeni RASMI. Mtu aliyesaidia kuleta RICHMONDULI badala ya kuleta umeme wa kuaminika na leo ni giza.

HATUWAAMINI MAGAMBA WOOTE HAWA. Inabidi aturidhishe vya kutosha kuwa kweli kabadilika.
 
Yaani nampongeza sana huyu mbunge kwa alivyoamua kuongea ukweli pale bungeni Dododma kwa masilahii ya Taifa.

Njoo hapa Kibaha Mailimoja nikufunde na nikupe siri nyingi za kupambana na hao mafisadi papa ! Karibu sana !

Wasiliana na boss wake ndiye mwenye kumpangia ratiba. Tarehe 1 August kaambiwa akapokee maandamano Mwembeyanga!
 
nadhani wametishika na hiyo plan ya maandamano maana yatasemwa mengi ambayo shelukindo hangesema bungeni . kaza buti kama uko jeshini ukifa wengeni wapo watakamilisha mpango mzima.
 
Hamna lolote hapo. Kajiandikia mwenyewe ili apate watu kwenye maandamano yake na Lowassa.

Hiyo habari ya Bahasha hata Mnyika alikuwa nayo kitamo ila yeye alipata barua tu na kusoma ambacho tulishasikia.

Mkutano wenyewe naambiwa kuna uwezekano mkubwa Lowassa akawa mgeni RASMI. Mtu aliyesaidia kuleta RICHMONDULI badala ya kuleta umeme wa kuaminika na leo ni giza.
.

Kwa hiyo CCJ wao wameanzia nyanda za Kusini, mtando Nabii Joshua (tafsiri yangu) unaanzia Pwani! Sujui mtandao UN (Dr Asha Rose Migiro) utaanzania pande ipi? Oh kuna mtandao kwa jina unakaribia kufanana na 'mango'
 
Back
Top Bottom