Beatification of Lowassa starts here

Beatification of Lowassa starts here

Naomba mwenye ushaidi wa ufisadi wa Lowasa auweke hapa. Kama ni suala la Richmondi wote tunafahamu kinachoendelea, kwani mitambo ndio inatoa umeme kwa sasa baada ya nchi kuwa taabani kwenye suala la nishati. Hata hivyo sii kwamba nakubaliana na Tb joshua kiimani, ila ninachofahamu ni kwamba siku zote ukiwa na agano lolote na rafiki yako wa karibu nawe ukawa mwaminifu kwake kwa sababu ya kiapo chenu, bali yeye akakugeuka na kukutenda jeuri ni sharti huyo abebe adhabu ya uovu wake mwenyewe. Hakuna asiefahamu urafiki wa Jk na Lowasa. Huyu Lowasa ndie aliyekuwa kwenye m/kiti wa mtandao wa kuhakikisha jk anaingia ikulu. Naamini hawakuwa wanafanya mambo kiholela bila kuwa na malengo, ambayo walikuwa wamekubaliana.
Namkumbuka rais wa zamani Zambia Levy P. Mwanawasa. Alikuwa na makubaliano na Chiluba waliyokubaliana kabla ya Chiluba kumrisisha uraisi kwa kumkampenia nchi nzima kwa nguvu zote ya support zote za ikulu. Kilchotokea ni kwamba baada ya Levy kupata urais, alijilazimisha kusahau patano lao na kumkamata chiluba, kumfungulia kesi na kumfilisi. Chiluba alikimbilia kwa Mungu na kufanya ibada kwa sana na hata wakati fulani alienda kuabudu Nigeria kwa Tb Joshua. Joshua alimwombea na kumhakikishia kuwa rafiki zake wamemwacha lakini sii Mungu aliemwacha. Katika kipindi kisichozidi miaka miwili tangu kuombewa,*Mwanawasa alifariki akiwa madarakani na rais aliempokea yaani Banda kwa sasa amemfutia Chiluba mashitaka yote kwani kulikuwa hakuna ushaidi wowote wa madai yaliyokuwa yanamkabili. Pia amemrejeshea mali zake zote alizokuwa amenyanganywa na Levy P. Sasa hivi Chiluba ni rais msaafu wa Zambia anaeishi nchini mwake kwa raha mustarehe. HAKI SIKU ZOTE ITASIMAMA MILELE NA KILA KIAPO WALICHOWEKEANA BINADAMU KITALINDWA.
 
Naomba mwenye ushaidi wa ufisadi wa Lowasa auweke hapa. Kama ni suala la Richmondi wote tunafahamu kinachoendelea, kwani mitambo ndio inatoa umeme kwa sasa baada ya nchi kuwa taabani kwenye suala la nishati. Hata hivyo sii kwamba nakubaliana na Tb joshua kiimani, ila ninachofahamu ni kwamba siku zote ukiwa na agano lolote na rafiki yako wa karibu nawe ukawa mwaminifu kwake kwa sababu ya kiapo chenu, bali yeye akakugeuka na kukutenda jeuri ni sharti huyo abebe adhabu ya uovu wake mwenyewe. Hakuna asiefahamu urafiki wa Jk na Lowasa. Huyu Lowasa ndie aliyekuwa kwenye m/kiti wa mtandao wa kuhakikisha jk anaingia ikulu. Naamini hawakuwa wanafanya mambo kiholela bila kuwa na malengo, ambayo walikuwa wamekubaliana.
Namkumbuka rais wa zamani Zambia Levy P. Mwanawasa. Alikuwa na makubaliano na Chiluba waliyokubaliana kabla ya Chiluba kumrisisha uraisi kwa kumkampenia nchi nzima kwa nguvu zote ya support zote za ikulu. Kilchotokea ni kwamba baada ya Levy kupata urais, alijilazimisha kusahau patano lao na kumkamata chiluba, kumfungulia kesi na kumfilisi. Chiluba alikimbilia kwa Mungu na kufanya ibada kwa sana na hata wakati fulani alienda kuabudu Nigeria kwa Tb Joshua. Joshua alimwombea na kumhakikishia kuwa rafiki zake wamemwacha lakini sii Mungu aliemwacha. Katika kipindi kisichozidi miaka miwili tangu kuombewa,*Mwanawasa alifariki akiwa madarakani na rais aliempokea yaani Banda kwa sasa amemfutia Chiluba mashitaka yote kwani kulikuwa hakuna ushaidi wowote wa madai yaliyokuwa yanamkabili. Pia amemrejeshea mali zake zote alizokuwa amenyanganywa na Levy P. Sasa hivi Chiluba ni rais msaafu wa Zambia anaeishi nchini mwake kwa raha mustarehe. HAKI SIKU ZOTE ITASIMAMA MILELE NA KILA KIAPO WALICHOWEKEANA BINADAMU KITALINDWA.

You must be the DEVIL'S ADVOCATE in person
 
Niliandika hii makala October 2007 kabla ya Mwakyembe hajatoa ripoti yake. Yametimia!
GUESS WHAT? MR. LOWASSA HAS A TASTE FOR RAP MUSIC!
I don’t know how many people in this country who do not belong to Generation X (kizazi kipya) can remember a song popularly known as “It wasn’t me!” This song by a Maestro rapper Shaggy or “Mr. Lover’ topped the song charts in the early 2000’s.

Prime Minister (PM) Edward Lowasa is not a man of yesteryears as far as the music is concerned. He is very up to date, so to speak. I was caught between tears and laughter when I read the headline in ThisDay Newspaper of Monday 15[SUP]th[/SUP] October 2007. The front page headline read as “I wasn’t involved, says PM Lowassa”. With the controversial Richmond deal back on the front pages in the mainstream print media, Mr. Lowassa has once again broken silence over the issue. This time round the PM is coming out with a “it wasn’t me” rap mantra! Who would like bet that Mr. Lowassa doesn’t know one or two things about rap music?

The above story makes a depressing reading when the whole Prime Minister gives out a press release through his Press Secretary saying “The prime minister was never involved in the Richmond negotiations. All he did was to assume a general, overseeing role in government’s efforts to ensure the power shortage problems afflicting the country at the time were URGENTLY (emphasis is mine) addressed”. Ooh, lala! (to use a French exclamation) Really?

For god’s sake this is exactly what the prime minister’s job description is all about! The role of overseeing government matters. In particular, issues which are urgent in nature require direct overseeing, direction and if need be, prudent intervention by the prime minister. Is the prime minister, for example, telling us that it is the first time is learning that TANESCO was pushed aside and short changed during the emergency power supply tendering process? Is the Right Honorable PM announcing to the world that he learnt about this through corridors and the press as a commoner just like me?

Had the Richmond deal come through nicely Mr. Lowassa would have been the first one to go to parliament, chest thumping and with great bravado declaring that this was possible because of his wise leadership and foresightedness. Meanwhile, his speech would be interrupted by “CCM Oyee, Lowassa Juu” from the over excited CCM law makers! But with the Richmond contract gone sour, the PM is pitifully trying to keep a very long distance. Talk of double posturing!

What is so amusing about the prime minister’s response is that the Richmond repudiation has now become a song and dance for the prime minister but the saga has stuck like super glue. The appalling scandal has simply refused to go away just like a bad arm pit odor (kikwapa)! Even the best beauticians in town have failed to suppress the stench which has been lingering since 2006. Mr. Lowassa should not grill ThisDay for “reviving” the issue of corruption related to the Richmond transaction. I am certain the PM is well informed about the lecture on corruption by a distinguished former civil servant, Mzee Joseph Butiku. Mr. Butiku intimated to the public on Sunday 14[SUP]th[/SUP] October 2007 that corruption can not simply go away because it is “unfinished business”. However, the PM seems to think otherwise. But how can Richmond saga die a natural death when up to now the country has never received even an iota of thermo power from a project “generally overseen” by Mr. Lowassa?

To add insult to an injury the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) (a proficient beautician?) was brought into the picture to soothe public anger over the Richmond circus. Quite frankly I do not envy Mr. Edward Hosea in his current plumy job. The PCCB Czar did not know that he was being used as a doormat when he promptly and without any sense of shame cleared the Government of wrongdoing by giving a clean bill of health stating that the Richmond deal was corruption-free! Eti, (according to PCCB) although the tendering procedures were not followed to the letter, the deal was therefore devoid of graft because the Government did not part with a single coin! How can you envy a man who is being asked to defend the indefensible and cover the un-coverable? In doing so, the PCCB chief did not only undermine the credibility of the anti-graft watchdog but also turned himself into a comic.

In theatrical parlance Bwana Hosea was playing the most dubious and awkward part of announcing to the gallery that all those who did not see the emperor’s new and majestic attire were sinners! Where will Mr. Hosea hide is face now that a young mischievous child in the name of Public Procurement Regulatory Authority (PPRA) has embarrassingly come out and pronounced that after all the emperor is naked! This act has now sent the whole prime minister scampering for cover, declaring “it wasn’t me”! Who was it, sir? Mr. Lowossa should do himself a favour by spilling the beans now to save his public standing or else this indignity will haunt him for long while. This will be good fodder for Mr. Lowassa’s foes in 2015.

I am not a lawyer but the little I know about law is that even an intention to commit a crime is illegal under Tanzania laws. Why did a smart lawyer like Edward turn himself into a butt of jokes by turning a blind eye on the most glaring anomalies in the deal that have subsequently been unearthed by PPRA?

Had the Richmond fiasco happened in the mature democracies, Mr. Lowassa would have hanged his prime minister’s gloves long time ago. He would be tending his cows in Monduli and possibly writing the last chapter of his memoirs. By publicly and implicitly acknowledging that he somehow kept his eye off the ball during the emergency power procurement process, Hon. Lowassa does not merit good grades on the leadership scoreboard. The prime minister has also dismally and abysmally failed to shake off the notion that he was not above board when dealing with the emergency power project. But Tanzania is still a “kindergarten” democracy so Mr. Lowassa is going to stick around for a while.

Mr. Lowassa does not have many options to maneuver on the Richmond deal. As a head of government he should come to terms with the fact that the emergency power project was bungled under his watch. He should take political responsibility, put to task his subordinates who might have“misled” him, swallow his pride and offer public apology so that we can put this scandal behind us. Akubali yaishe in Kiswahili.

If the above prescription proves a bitter pill to swallow, Mr. Lowassa can opt for all night long prayers in the hope that come 2015 the likes of ThisDay Newspaper will not be around to invoke the Richmond ghosts. These ghosts will jog the public’s memory to ensure the Richmond tale is still pending, unfinished business. 2015 will not be the time for the “it wasn’t me” antics.





Byase Luteke is a Socio-Political Critic based in Dar Es Salaam
E-mail: byasel@hotmail.com
 
Kwa hio Mzee wa Ipako na Mwingira wamekosa dili hio?? Kwahio kile kilichowahi kuripotiwa kuhusu huyu jamaa kumtabiria Lowasa kuwa next Presidaa kinaweza kuwa kweli? Si mnakumbuka dili ya akina Mama Shelukindo?
 
Atautafuta sana urais but hatapata.
Makanisa kibao Tanzania anafuata nguvu gani huko?
Laana aliyoipata kutokana na kupora MALI YA KANISA inamtesa.
Kanisa hilo analifahamu fika maana amejenga mghorofa na viwanja vingine kuwapa shemeji zake na ndugu zake wa Arusha.
Baada ya kushindwa kumshawishi kurudisha kiwanja chote alichopora, Askofu aliyeenda kumwomba arudishe,kwa machungu alisema , "haya baba tupe tu kilichobaki", na akasali.
Na laana ilianzia hapo.
Akatubu kanisani pale pale ili asamehewe,Vinginevyo atasumbuka sanakutafuta uso wa rehema bila mafanikio.
 
Mm ni cdm, kiukweli hata mm nampenda ana msimamo siyo huyu bw chekacheka. Ila hatakiwi kupewa madaraka ya juu kabisa ya nchi
 
Hivi mitambo iliyosababisha Lowasa akajiuzulu ndiyo hiyo iliyonunuliwa ambayo mama Clinton kaitembelea alipokuwa hapa Dar??

Ndiyo hiyo tena kaifagilia sana kuwa itapunguza shida ya umeme na kufanya wawekezaji wajimwage kwa wingi bongo!! haya mambo ni kizunguzungu mtupu. sielewi haya mambo
 
lowasa namkubali ila kwenye urais atulie.alichofanyiwa na pacha mwenzake wenye akili tunajua.ila kwa kuwa wote wana matizo ila ya mwenzake ni zaidi.
mpango wa richmond aliyeutengeneza tunamfahamu.
lakini acha ajaribu kwa tb joshua maana bila adui yake kupoteza maisha hataweza kujisafisha.
 
Itakuwaje mkimkuta Mbinguni.?

Au mtamuuliza Mungu na huyu kafikaje huku.

Toeni maboriti kwenye macho yenu halafu mtaona kibanzi kwenye jicho la Lowassa.
Bwana anaangalia moyo.
 
Jamani hata kama dhambi yake ni nyekundu kama damu yaweza turn kuwa nyeupe kama theruji
 
Jamani hata kama dhambi yake ni nyekundu kama damu yaweza turn kuwa nyeupe kama theruji
 
that place is awesome my wife was there last sunday, wadau nawaambieni ile ni arena of liberty hakuna kinachoshindikana pale kwa jina la YESU, tayari nna testimony kibao za kushea. wife alikuwa na vidonda vya tumbo vinamkamata mpaka anapanda dirishani low pressure, ile kukanyaga tu pale hakusikia chochote mpaka wali wa ki nigeria wenye pilipili kibao alikuwa anakula sasa hivi hakuna cha low pressure wala ulcers kwishney. glory be to lord JESUS

........... kikombe cha babu hakikusaidia !? .................. Mitume mbona mingi tu hapa BONGO !? karne ya miujiza ni ya watu wajinga, sasa ni karne ya hoja, ndio maana wadudu wa Malaria unaweza kuwaona na ukajuwa ni wangapi ? mnajiona mnashuuulee !
 
kama tb joshua ankajiita prophet, basi hakuna haja kufikiria mara mbili zaidi ya kujua kuwa jamaa kaenda kuongezea mishe za akina shekh yahaya.

................ ndo hapo sasa, sijui kuna tofauti gani mtu aenda kwa ''MTUME'' (awe wa MWENGE au NIGERIA) na akatabiriwa na YULE aendae kwa SHEIKH YAHYA !
 
*Beatification of Lowassa starts here…

If some of you are keen observers of the turn of events, then you will start seeing why Lowassa is a formidable contender coming 2015, ask me why? While Richmond scandal was a reason for him to step aside no legal technicalities have so far held him accountable and as a matter of fact his resignation turned into a soft retirement which deprives him of nothing rather than just taking away a PM title while he continues to enjoy all the benefits just like all other PMs that served this nation with dignity are assigned to get, all this happens in the day light! What can the implication of that be on this United Republic of ours?

Technically, no legally technicalities exist that can bar him to vie for that highest office as our constitution is concerned! This reality can be argued from the fact that no court has held him accountable albeit serious flaws exist on his intentionally wrong doings evidently that remain and most likely will remain a mere scandal that can't hold water when one constitutional right is recited coming 2015!

To put emphasis that a conducive ambience is in the making to put him in a best position when time comes, a smartly calculated motive that went successful was precisely executed; Symbion, an American company acquired the same generators that Richmond brought in though from a heir company i.e. a controversial Dowans under the due diligence violation of the existing United Republic procedures that at first requires a company to have a valid registration (no one knows where Dowans came from) and have a clean tax sheet! So far no details whether acquisition of the company rendered tax to TRA! Moreover, through the workings of ever-repeatitive irregularities by TANESCO management, no procurement procedures were followed when TANESCO contracted Symbion to generate electricity to its worn out grid.

To back up an assumption that
H.E. is here to stay and his shadow is in all the corners of this system all things seem to be going pretty well on his side and assumingly coincidentally, the US Secretary of state just paid a visit to the newly acquired generators at Ubungo, a PR stunt that alone is enough for us to sit back and be rest assured that the evil has been siphoned into a clean deal that to our constitution is ethically accepted! Is the US having a hand into this dirt working of our politicians?

The answer is NO! Our weak constitution and workings of a corrupt system allowed incompetent Richmond to procure electricity generation deal with no one held accountable for that, by then when the media discovered and raised disapproval of its lack of capacity to carry out that project, again our Constitution and workings of a corrupt system again allowed Richmond to bear a child Dowans through sub-contracting him with no consent from our Parliament, thereafter again our constitution and workings of a corrupt system allowed Dowans to dispose the generators to an American company under the disguise of abating power shortage under the watch of energy Parliamentary committee, the sequence goes on and on! I hear there is shortage of gas for Symbion Power to generate the 126 MW contracted! So probably the drama is here to stay..

All these happen while the architects are popping up champagne and with confidence assured no legal technicalities can hinder their mission to ascend to power come 2015! No one is to blame them for sure since it is obviously a render of our weak constitution plus the influence of mafisadi in the system! With his visibility continues to glitter, we should just hope that all these events are not happening in the sole aim to clear the name Lowassa, otherwise we should relax and be assured he is our president coming 2015.


* Beatification in this contest specifically meant glorification or making somebody happy, no link to a sainthood process prior canonization taken by the Roman Catholic church as a way to honor its followers thought worthy of public veneration
 
to me, nothing wrong as am sure that he is going to be the best president ever.
 
to me, nothing wrong as am sure that he is going to be the best president ever.
Try to figure out this way, Lowassa has always served as a public servant but today is one of the richest individuals in Tanzania... how did he manage all that? then you judge yourself whether he suits to be your president or not
 
Try to figure out this way, Lowassa has always served as a public servant but today is one of the richest individuals in Tanzania... how did he manage all that? then you judge yourself whether he suits to be your president or not

Lowassa is rich,so what ? Can you prove it in the court of law that he acquired his wealth in unorthodox manner?
And if is rich which is opposite of poor,aren't we fighting to eradicate poverty?
Lowassa resigned as PM he was not fired that's fact.
Lowassa has never been indited nor accused of wrong doing in the court of law.
Stop gossiping give us solid facts. Tuache siasa za mifukoni.
 
Back
Top Bottom