Beatification of Lowassa starts here

Beatification of Lowassa starts here

Kwa kweli Lowassa ana kazi. Jamani mbona hata Zambi katajwa leo na Kafulila kama fisadi?
 
jamani eeeh mbona mnamfuatafuata mzee wa watu ina maana mtu kusali imekuwa nongwa bora yeye anasali na kutubu kuliko nyie ambao hata kusali mmesahau kwa kuzidiwa na maisha ya mjini aamin nawaambia Mungu ni wa ajabu EL atasamehewa dhambi zake zote kwa toba moja tu na kuingia peponi na wewe usiyejutia na kutubu dhambi zako ukaingia motoni!kesheni mkiomba na kutubu hakuna ajuaye siku wala saa.Ila siku ikifika hakika wengi tutalia na kujutia
 
Anatakiwa kupiga goti mbele ya taifa na kutubu dhambi zake kwetu kabla hajaenda kwa Mungu...ni kazi bure anafanya kama hajaja kwetu raia atuombe radhi ndipo Mungu atamsamehe.
tunaweza msamehe akitubu ila urais hatutampa kwani jasiri haachi asili.
 
Tatizo ni nini wa jameni? Ana haki ya kusali popote provided ni kanisa la kristo.
 
Fisadi maarufu hapa nchini Bwa. Edward Lowasa jana tarehe 12 june 2011 alionekana nchini Nigeria kwenye Kanisa la mhubiri maarufu duniani T.b Joshua kwenye kituo maarufu cha television kiitwacho Emanuel Tv, kama ni kweli amemrudia Mungu wake nadhani nchi itasalimika na udhalimu mkubwa unaoendelea katika serekali ya C.C.M.

Lakini wewe Unaendika na Kumuhukumu Mwenzako Lowasa FISADI Maarufu Inawezakana Ni Mchafu Kuliko Kaniki!
Baati Mbaya Haujaundiwa Tume ya Bunge!Na Kuandikwa Gazetin1
Hiyo Mitambo ya Richmond Ipo wapi Sasa? Mbona leo hii Inafanya kazi na Kuja Kufunguliwa Na Kiongozi hadimu 'Secretary Of State'
Kilio na Kelele kwa Lowasa vimebaki ni Ulimbukeni!Mbona akionekana TBC hamsemi Mjengoni!
WaTZ wengi wanalalama na mada Mfu na Kuacha hai zenye Tija kwa Taifa na Kumwacha Zito peke yake!
Mie Mgaya Sida!Ulanzi kwangu Burdani!Habari za Lowasa zanipa Ukakasi hazina jipya!
 
mh Lowasa kupitia tukio la kuonekana emanuel tv limeleta hamaki kubwa hasa kudhihirisha dhamira yake.yupo huru kuabudu lakini hii ni maalum wakuu.binafsi kama bidamu mwenzangu nampongeza saaaana kwa hili
 
siumungi mkono kwa mengi ila dhimira inaniambia nimpongeze kwa hili! Hii ni maalum kwa wanaoelewa wakuu.tafuta kwanza ufalme wa mbingu..............,
 
Anatakiwa kupiga goti mbele ya taifa na kutubu dhambi zake kwetu kabla hajaenda kwa Mungu...ni kazi bure anafanya kama hajaja kwetu raia atuombe radhi ndipo Mungu atamsamehe.
tunaweza msamehe akitubu ila urais hatutampa kwani jasiri haachi asili.

Mkuu sio kutubu tu, anatakiwa afanye kama Zakayo wakati wa Yesu. Baada ya kuokoka Zakayo alisema "Nusu ya mali yangu nawapa masikini, na kama kuna mtu niliyemdhulumu namrudishia mara mbili". Aturudishie mali zetu ndipo toba yake itakubaliwa na Mungu.
 
kwani mmesahau kile kimemo cha mama shelukindo kwenda kwa shosty kilikuwa kinasemaje? nimeamini lisemwalo lipo.
 
kwani mmesahau kile kimemo cha mama shelukindo kwenda kwa shosty kilikuwa kinasemaje? nimeamini lisemwalo lipo.
Mh! Kabla ya 2015 tutaona mengi hakika! Ila akitaka kuwa safi sana amtose Rostam, mimi kwa mtazamo wangu naona huo ndio mkosi pekee kwake, najua waTz watamsamehe maana tu wepesi kusamehe na kusahau, lakini aonekanapo Rostam na .... Inakuwa ukakasi zaidi hata kama alimsaidia huu ni wakati wa kumtosa. Vinginevyo Rostam awe kama Patni wa Kenya
 
kwa wale wenye access na emmanuel tv, chekini mh LOWASSA yupo live anapata neno la mungu kwa prophet TB JOSHUA.
Lowassa-rais.jpg
Du! Jamani lowasa anatamani uraisi! Du, azidishe maombi na mbinu...ikiwezekana apindue uenyekiti wa Jk ccm.
 
jaman mnyonge mnyongeni haki yake mpeni si muungi mkono kwa matendo yake laaaah ila katika suala la kiimani tusimziaki shime ndugu zangu najua ametuboa but tumvumilie na tumuombee
 
TB joshua alimtabiria Lowassa kuwa next president wa tz,hbr ilivuma kidogo siku za nyuma baada ya B. Shelikindo kumwandikia memo Pindi Chana akimjulisha hivo,habari hii ilichapishwa kwenye gazeti la mwanahalisi
Ni vizuri atubu dhambi zake asamehewe,lakini kuwa raisi wetu hapana,unless atuombe watz msamaha na a/warudishe vyote vilivyo vyetu
 
Duh EL anatembea alianza na kwenda kuhiji Jerusalem mara baada ya kuchomoka kwenye Uwaziri mkuu. Baadae akaenda kwa babu kupata kikombe na wafuasi wake kibao. Sasa yupo kwa TB Joshua. Sio mbaya kama anakwenda kwa issue zake nyingine, lakini kama ni Urais hapana.
 
Ee bwana ee, kwani nani asiyejua huko ndiko kwenye majini, hii ni ili awapumbaze watz maana walishaanza kumshitukia kuwa ni fisadi, kumbe kweli lowassa ni noma.
 
Mh, maisha ya watanzania na uraisi wa Lowasaaaaaaa, kazi tunayooo
 
Back
Top Bottom