Beatification of Lowassa starts here

Beatification of Lowassa starts here

Geza Ulole, nakubaliana kabisa na wewe kwamba muungwana JK hawezi kumwachia nchi Kafiri, hawa watu kama EL ambao wanaonekana kuwa na ushawishi fulani ndani ya chama chetu cha magamba (ambacho kimebaka demokrasia hapa bongo) tutaendelea kuwachafua kwa mbinu zozote zile hadi wakose heshima kwa jamii. Lengo letu sisi ni moja tu Muungwana mwingine akamate nchi vingenevyo tupewe OIC and sharia.
 
Lowassa is rich,so what ? Can you prove it in the court of law that he acquired his wealth in unorthodox manner?
And if is rich which is opposite of poor,aren't we fighting to eradicate poverty?
Lowassa resigned as PM he was not fired that's fact.
Lowassa has never been indited nor accused of wrong doing in the court of law.
Stop gossiping give us solid facts. Tuache siasa za mifukoni.
............. mwizi mpaka akamatwe!!
 
siko vizuri kiimani kabisa bado niko duniani au sijapata mwongozo lakini huwezi amini huyu jamaa nilimfurahia nilipomuona pale,bora yeye kaona mbali na tena kaenda kwa Mungu,good move kuliko angeuza roho yake kwa shetani.anyways naweza fanya lolote ya ajabu lakini huwa siendi kudharau imai ya mtu au imani yoyote,Namuogopa Mungu kinoma naweza nisiende church lakini time to time huwa nasali hata dk moja tu.mwacheni mzee wa watu aabudu Mungu na aenjoy amani ya roho yake.ningekua namjua ningempa 20(za mikono na miguu).
Ndiyo hiyo tena kaifagilia sana kuwa itapunguza shida ya umeme na kufanya wawekezaji wajimwage kwa wingi bongo!! haya mambo ni kizunguzungu mtupu. sielewi haya mambo
 
mkuu Geza, unasemaje kuhusu drama inayofanyika sasa Bungeni kuhusu Lowassa? ina maana wanamtema rasmi au ni mazingaombwe?
 
People do not become Presidents by being mysterious. If a person wants to be president,he will have to talk a lot,and answer many questions. And if he is a suspicious character,like Lowassa,who suddenly resigned[this man did not jump,he was pushed],how can such a person be president.?
And Lowassa is asking the government to be quick in making decisions,this person whmany people have said that they would like to see being handcuffed,is asking the government to make decisions quickly. That means that he is mocking the masses. That is bad. He must not do that. The government is greater that any one person. If he asks to be arrested,he will be arrested.
 
lowassa.jpg

Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowasa akiwa kwa TB jOSHUA kama anavyoonekana kwenye Emmanuel TV, 12 June 2011
 
ulikuwa wapi siku zote hizo mkuu? hata hivyo sio mbaya kuwakumbusha ambao hawajui, ila wokovu waeke umesaidia kapiga makelele bungeni ili serikali ichukue maamuzi magumu so naona JK kaamua kuweka trick ya kumtimua jairo km maamuzi magumu....
 
Ili asamehewe inabidi arudishe vyoote alivyoiba,
Aombe kusamehewa na watanzania wanaoteseka moja ya sababu ikiwa ni yeye,
Ndipo akafanye toba kwa Mungu wake...........Na Mungu atamsamehe!





Maandiko yanasema Yaliyofungwa nduniani na mbinguni yamefungwa na Huwezi kumpenda Mungu usiemuona wakati binadamu mwenzio unamchukia aka unamfisadi
 
Atautafuta sana urais but hatapata.Makanisa kibao Tanzania anafuata nguvu gani huko?
Kama ni msomaji wa Biblia,Naamani alitoka nchi ya mbali kuja kupokea uponyaji wa ukoma kwa kuoga maji yenye tope Israel wakati kwao alipotoka yaani syria kulikua na mito mizuri na misafi,mto Jordani alioambiwa aingie mara saba ulikua unanuka tope,Kama wewe ni mtu wa imani,Lowwasa kwenga Nigeria sio ajabu acha kupayuka kaka
 
Viongozi wengi wa tanzania ni wachafu na tumekuwa tukiongozwa na wachafu,lowassa anauchafu wake na wa kuongezewa kwa akili yangu mimi!lowassa ni bora mara trilion moja kuliko kikwete na pinda wake na nitaendelea kumkumbuka lowassa na uchafu wake kati ya wachafu wenzanke,alikuwa zimwi likujualo!
 
Watanzani ni kama mbwa,akiambiwa kamata hukamata,tujifunze kutafakari si kusia na kuanza kumchukia mtu bila ya ukweli wa mambo
 
naye ni msanii tu Kama akins Getrude Rwakatare na Mwingira ambao wanatumia mazingaombwe ku hapnotize wafuasi wao

I totally agree, ndo maana haitamsaidia EL kusafisha dhambi zake. Hakua sabuni ya kumsafisha huyu, JK na CCM wanalifahamu hilo ndo maana wanamtaka ajitoe mwenyewe! TB Joshua atafanya nini. Yesu hafanyi kazi kiivo!
 
i have felt so happy to see him there.

Unawajua wachungaji wa kinigeria wewe? Acha maramoja kufuru, mafisadi watupu hawa wanatafuta vyeo ili wafanye ufisadi mkubwa zaidi tuachi ujinga!
 
Wakati muda huu Watanzania wenzetu wakipiga kura zao kumchagua Mbunge mpya jimbo la Igunga; Mhe. Edward Lowassa yuko ndani ya Synagogue Church of All Nations (SCOAN) Kwa TB Joshua, jijini Lagos Nigeria muda huu.

Source: Emmanuel TV, Sunday Live Service.

Na mesasge ya TB Joshua leo ni "Overcome your Doubt"
 
namwona katulia tuliii. tumwache amsalie mungu wange ni haki yake kuabudu!
 
Kwa Mungu kila goti litapigwa. Tumshukuru Mungu kwa kila jambo.
 
Back
Top Bottom