Jamani wana jf....naomba mnijuze hivi huyu mmasai anatu judge vipi watanzania hadi inampelekea kuamini kuwa bado tunamhitaji katika duru za uongozi? ina maana hasomi magazeti au hao wapambe wake hawamfikishii hizi taarifa? au anataka kuupata urais kwa kutumia NGUVU mie simuelewi kabisa
nisaidieni ana fikra gani (hatumhitaji katika duru za siasa kabisa kwani ni mmoja ya watu waliopelekea kufika hapa tulipo)
nb. mimi sio wa magamba tafadhali
nisaidieni ana fikra gani (hatumhitaji katika duru za siasa kabisa kwani ni mmoja ya watu waliopelekea kufika hapa tulipo)
nb. mimi sio wa magamba tafadhali