Beatification of Lowassa starts here

Mi bado sijaelewa kwa nini hasa huyu jamaa yuko very affirnity na huu uraisi wetu!!!mi mpaka ananitia wasiwasi na kwa kweli wala hata akigombea sitampa maana ameshaonyesha mapema siyo mtu mzuri huyu!!anataka kutuonyesha kuwa yeye ni innocent kwa kutumia mgongo wa makanisa lakini watu wa dizaini kama yeye siyo kabisa ni kama nyoka!!
 
Yesu anasema,dhambi zako zikiwa nyekundu kama damu nitazisafisha zitakuwa nyeupe kama theruji,acheni bwana amsafishe..

Hawasafishiki kiurahisi mafisadi papa hata shetani huwa anawaruka mbele ya mungu kwani wako juu yake
 
kwa nini asingeenda tu loliondo kwa babu akapata kikombe .. lakini lowasa ukiacha ile kashfa ya ufisadi lowasa ni mtu makini katika uongozi....
 
Lowasa amekumbatia roho nyingi za watz! Hivyo kwenda kwake kwa TB Joshua kunabeba sura mbili zenye mkanganyiko,je nikwa ishu zake binafsi au kwaajili ya uraisi watz?
 
Kanuni ya kitubio ni kwenda kwanza kwa uliyemkosea/uliyemkwaza na kumwomba msamaha, hatua inayofuata ni kwenda kwa Muumba wako kutubu, kufanya malipizi na kuahidi kutorudi dhambini huku ukiomba msaada wake Muumba. Swali ni je, EL na fans wake wanakiri alifanya makosa? Na Je, amefuata kikamilifu hii kanuni na utaratibu wa kitubio katika Ukristo?
 
Pamoja Anasemwa na mengi mm nampenda Lowasa im a cdm sapporter but if that man stand for president 2015 i wil vote for him !
 
Kunahabari mwanahalisi walishaitoa iliyosema EL atakuwa rais 2015 kufuatia utabiri wa huyo tb joshua uoletwa hapa tz na mmoja wa wajumbe wa nec ya magamba,huenda kaenda kutimiliziwa utabiri!!
 
Nasikia mzee wa Monduli ameonekana leo kwenye ibada ya tb joshua huko nigeria!!
Hivi hizi toba kweli zinasaidia maana mali yote ya kifisadi bado anaimiliki!au ni toba ya kuomba gamba livuke?
 
mi nilidhani umeona kumbe umesimuliwa na hapa unatafuta taarifa zaid.........
 
Nasikia mzee wa Monduli ameonekana leo kwenye ibada ya tb joshua huko nigeria!!
Hivi hizi toba kweli zinasaidia maana mali yote ya kifisadi bado anaimiliki!au ni toba ya kuomba gamba livuke?
Takataka hii
mimi nilijua kuna issue ibada zake sisi zinatuhusi nini?
kwani umeambiwa toba zote ni za kweli,
next time keep majungu yako
kanisani kuna mengi (siasa , uponyaji na social)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom