Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,044
- 5,114
Kila mtu anajua hilo labda kama umeingia jf jana..but clip zilikuwepo
Wewe ni muongo halafu mbishi!
Kila mtu anajua hilo labda kama umeingia jf jana..but clip zilikuwepo
nilishaonya tena kwa kutumia mfano wa kilichotokea Iringa. hakika hawataamini macho na masikio yao. something very surprisingly is going to happen soonUnakumbuka mkuu kilichotokea iringa kwetu kwa mama mbega? NaonA the same thing kinajirudia bt this time ni kwa nchi sio jimbo tena
Wewe ni muongo halafu mbishi!
kwaiyo unafikiri alitabiliwa kupata urais kupitia CCK,?
Jamani tuliwai kujadili humu kuhusu mtumishi wa mungu wa kimataifa kutoka nchini Nigeria maarufu kama TB joshua.. kumtabilia Edward Lowassa kuwa rais wa tanzania mwaka huu,vipi bado miujiza inaweza kutokea?
Ushahidi...
Jamhuri ya Muungano TZ, kuna mbunge mwanamke alimfagilia sana E. Lowassa; na pia gazeti moja la kila wiki nchini lilimnukuu mbunge huyo mwanamama kutoka Tanga akisema alipoenda Nigeria aliambiwa na Mtumishi maarufu wa mungu nabiiTB Joshua kwamba mh.Lowassa ndiye rais ajaye wa Tanzania.
Aliekuambia tb joshua ni mtumishi wa mungu ni nani?
hii ngoma bado mbichi sana.... isitoshe uchaguzi mkuu bado haujafanyika. just wait and see this is politics
nilishaonya tena kwa kutumia mfano wa kilichotokea Iringa. hakika hawataamini macho na masikio yao. something very surprisingly is going to happen soon
Hata hivyo Octoba mbona mbali sana terehe 26/09/2015 Kuna ishu moja hivi itajitokeza kwa dunia nzima.
kama ccm hawaja mpitisha kuwa mgombea anawezaje kuwa rais?