Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,115
Kwani uchaguzi ushapita? Kwanini unatafuta miujiza mda huu?
Kwani uchaguzi ushapita? Kwanini unatafuta miujiza mda huu?
Aliekuambia tb joshua ni mtumishi wa mungu ni nani?
hii ngoma bado mbichi sana.... isitoshe uchaguzi mkuu bado haujafanyika. just wait and see this is politicsJamani tuliwai kujadili humu kuhusu mtumishi wa mungu wa kimataifa kutoka nchini Nigeria maarufu kama TB joshua.. kumtabilia Edward Lowassa kuwa rais wa tanzania mwaka huu,vipi bado miujiza inaweza kutokea?
Jamani tuliwai kujadili humu kuhusu mtumishi wa mungu wa kimataifa kutoka nchini Nigeria maarufu kama TB joshua.. kumtabilia Edward Lowassa kuwa rais wa tanzania mwaka huu,vipi bado miujiza inaweza kutokea?

utabiri maana yake ni kuyataja mambo yatakayotokea kanakwamba yamekwishatokea..sasa kama sio lazima yawe kweli ama yatimie huo sio utabiri tena..ni mawazo binafsi!Utabiri... sio lazima uwe wa kweli ama utimie..
Weka maneno yake hapa Alivyokuwa anasema hivyo?
utabiri maana yake ni kuyataja mambo yatakayotokea kanakwamba yamekwishatokea..sasa kama sio lazima yawe kweli ama yatimie huo sio utabiri tena..ni mawazo binafsi!
hii ngoma bado mbichi sana.... isitoshe uchaguzi mkuu bado haujafanyika. just wait and see this is politics