Ethical Ninja CEH
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 3,695
- 5,052
Hapana sikwaziki kirahisi hivi ndugu yangu. Haya mambo ya kiimani ni vyema kumuachia Mungu mwenyewe aamue, unaweza sema mtu flani sio mtumishi wa Mungu, alafu kumbe akawa mtumisi wa Mungu, Je? hapo haujapingana na Mungu.
Tuwe makini na kauli zetu, na wala tusifanye mambo kwakua wengine wamefanya, kila mmoja ataondoka kivyake na hatma yake. Huyo mama achana nae, wewe fanya yako
Tuwe makini na kauli zetu, na wala tusifanye mambo kwakua wengine wamefanya, kila mmoja ataondoka kivyake na hatma yake. Huyo mama achana nae, wewe fanya yako
sawa mkuu it seem nimekukwaza