Beatification of Lowassa starts here

Beatification of Lowassa starts here

Mie sikusikia live ila waliosikia na kushuhudia wanasema aliambiwa ''kuna kitu ukirekebisha utakua kiongozi mkubwa''
yeye jamaa kakozea tena anaingia urais kupitia ccm aaah!

Uongo mtupu, tupeni link wapi alipewa huo unabii?coz huwa tunaangalia live na hatukuona!
Acheni kumlisha maneno tbj
 
Jamhuri ya Muungano TZ, kuna mbunge mwanamke alimfagilia sana E. Lowassa; na pia gazeti moja la kila wiki nchini lilimnukuu mbunge huyo mwanamama kutoka Tanga akisema alipoenda Nigeria aliambiwa na Mtumishi maarufu wa mungu nabiiTB Joshua kwamba mh.Lowassa ndiye rais ajaye wa Tanzania.
 
Weka hapa huo utabiri kama unahakika na maneno unayoyasema. Hawezi mtu kuweka ushahdi wa kitu ambacho hakikuwepo. Na kama unabisha, weka ushahidi kwamba mimi Tabby sijafika Sobibo!.

Jamhuri ya Muungano TZ, kuna mbunge mwanamke alimfagilia sana E. Lowassa; na pia gazeti moja la kila wiki nchini lilimnukuu mbunge huyo mwanamama kutoka Tanga akisema alipoenda Nigeria aliambiwa na Mtumishi maarufu wa mungu nabiiTB Joshua kwamba mh.Lowassa ndiye rais ajaye wa Tanzania.
 
alishindwa kutabiri madhila ya kanisa lake, yeye na Gwajima ni matapeli wa kufa mtu

Gwajima toka lini ni nabii?
Nabii ni mwanadamu tu Kama ww broo xo Kama hajaambiwa kitu
chochote na Mungu hawezi kukisema .
That's my bible kumbukumbu ya torati 18:18
 
Alitabiri lini kama sio habari za kutunga :?
Jamhuri ya Muungano TZ, kuna mbunge mwanamke alimfagilia sana E. Lowassa; na pia gazeti moja la kila wiki nchini lilimnukuu mbunge huyo mwanamama kutoka Tanga akisema alipoenda Nigeria aliambiwa na Mtumishi maarufu wa mungu nabiiTB Joshua kwamba mh.Lowassa ndiye rais ajaye wa Tanzania.
 
Attachments

  • 1436590752112.jpg
    1436590752112.jpg
    40.5 KB · Views: 195
hii ngoma bado mbichi sana.... isitoshe uchaguzi mkuu bado haujafanyika. just wait and see this is politics

Unakumbuka mkuu kilichotokea iringa kwetu kwa mama mbega? NaonA the same thing kinajirudia bt this time ni kwa nchi sio jimbo tena
 
Mchakato haujafika mwisho hivyo hivyo safari ya matumaini pia. The end will justify the mean.
Hatimaye mkoloni mweusi siku zake zinahesabika!
 
Mie sikusikia live ila waliosikia na kushuhudia wanasema aliambiwa ''kuna kitu ukirekebisha utakua kiongozi mkubwa''
yeye jamaa kakozea tena anaingia urais kupitia ccm aaah!
KUMBE HAKUAMBIWA RAISI BALI NI KIONGOZI MKUBWA​

Uzushi mtupu, hakuna kitu kama hicho ( Nabii TB Joshua kutoa unabii kwa E. Lowasa kua rais ). Kama Nabii TB Joshua ingekua kweli katoa unabii kwa E. Lowasa kua atakua rais, ni lazima angekua rais, maana hakuna neno la unabii linalo anguka.
 
Tb joshua siyo mtumishi wa Mungu,wote tunajua ni tapeli anayetumia nguvu za shetani
 
kwaiyo habari hii nimetunga?
 
kama ukuwai kusikia au kuona ni wewe tu..ila kwenye jukwaa hili na magroup ya wasap izo clip zilikuwa nyingi na tulishawai kujadili humu

Rusha moja basi tuthibitishe utabiri wa uongo
 
Tb joshua siyo mtumishi wa Mungu,wote tunajua ni tapeli anayetumia nguvu za shetani
Jamhuri ya Muungano TZ, kuna mbunge mwanamke alimfagilia sana E. Lowassa; na pia gazeti moja la kila wiki nchini lilimnukuu mbunge huyo mwanamama kutoka Tanga akisema alipoenda Nigeria aliambiwa na Mtumishi maarufu wa mungu nabiiTB Joshua kwamba mh.Lowassa ndiye rais ajaye wa Tanzania.
 
Rusha moja basi tuthibitishe utabiri wa uongo

Jamhuri ya Muungano TZ, kuna mbunge mwanamke alimfagilia sana E. Lowassa; na pia gazeti moja la kila wiki nchini lilimnukuu mbunge huyo mwanamama kutoka Tanga akisema alipoenda Nigeria aliambiwa na Mtumishi maarufu wa mungu nabiiTB Joshua kwamba mh.Lowassa ndiye rais ajaye wa Tanzania.
 
Jamhuri ya Muungano TZ, kuna mbunge mwanamke alimfagilia sana E. Lowassa; na pia gazeti moja la kila wiki nchini lilimnukuu mbunge huyo mwanamama kutoka Tanga akisema alipoenda Nigeria aliambiwa na Mtumishi maarufu wa mungu nabiiTB Joshua kwamba mh.Lowassa ndiye rais ajaye wa Tanzania.

Kama haujui kitu ni bora kukaa kimya, kuliko kuchafua watumishi wa Mungu ( wito wao hawakupewa na wanadamu ) na wakati wanapewa maelekezo na Mungu alie waita haukuwepo. Angalia sana kumchafua huyo ni sawa na kumchafu alie muweka hapo...
 
Mimi kosa langu nini?kuweka habari iliyokwishawekwa?mbona kipindi kile taarifa hizi zinevuma sikuwaona mkipinga iweje leo baada ya haya kutokea?
 
Back
Top Bottom