Beatification of Lowassa starts here

Beatification of Lowassa starts here

Jamani tuliwai kujadili humu kuhusu mtumishi wa mungu wa kimataifa kutoka nchini Nigeria maarufu kama TB joshua.. kumtabilia Edward Lowassa kuwa rais wa tanzania mwaka huu,vipi bado miujiza inaweza kutokea?

Leta clip inayoonyesha huo utabiri siyo unaongea tu kutokana na maneno maneno ya watu tunataka uhakika wa utabiri huo
 
kama ukuwai kusikia au kuona ni wewe tu..ila kwenye jukwaa hili na magroup ya wasap izo clip zilikuwa nyingi na tulishawai kujadili humu
 
Jamani tuliwai kujadili humu kuhusu mtumishi wa mungu wa kimataifa kutoka nchini Nigeria maarufu kama TB joshua.. kumtabilia Edward Lowassa kuwa rais wa tanzania mwaka huu,vipi bado miujiza inaweza kutokea?

hawa wachumia tumbo wamejidhallsha sana yule wakujiua yupo ICU yule gwajima now anamalizia malimao yake.
 
Wakuu muwe mnafuatilia mambo vizuri na kuwa na kumbukumbu. Suala la eti TB Joshua alimtabilia Lowasa kuwa raisi lilianzishwa na yule mama mbunge Shelukindo lakini TB Joshua mwenyewe alikanusha kuwahi kumtabiri Lowasa kuwa atakuwa raisi na matangazo take yalitoka hata magazetini ingawa Lowasa amewahi kwenda kwa TB Joshua. Najaribu kutafuta Hilo kanusho nikipata nitalibandika hapa
 
Utakuwa umefanya la maana sana kuleta kanusho..lakini kwa sasa tusimamie pale pale amemtabiria..mpaka vinginevyo
 
Naomba useme kweli mbele za Mungu aliye hai takayewahukumu walio hai na wafu. TB Joshua alitabiri nini juu ya Lowasa? Naomba uweke maneno aliyoyasema hapa. Vinginevyo mzigo wa uzushi uwe juu ya kichwa chako.
 
after all ccm wamefanya jema sana kulikwangua lile jina...
Allah Akbar..
 
Weka hapa huo utabiri kama unahakika na maneno unayoyasema. Hawezi mtu kuweka ushahdi wa kitu ambacho hakikuwepo. Na kama unabisha, weka ushahidi kwamba mimi Tabby sijafika Sobibo!.

Utakuwa umefanya la maana sana kuleta kanusho..lakini kwa sasa tusimamie pale pale amemtabiria..mpaka vinginevyo
 
Jamani tuliwai kujadili humu kuhusu mtumishi wa mungu wa kimataifa kutoka nchini Nigeria maarufu kama TB joshua.. kumtabilia Edward Lowassa kuwa rais wa tanzania mwaka huu,vipi bado miujiza inaweza kutokea?

Kila siku tunawaambia humu,tbj hajawahi kutoa unabii kuhusu El,hivi tuwaambiaje muelewe!?
Mbona mnapenda kumlisha maneno!!!

Haya anaejua au aliyeona huu unabii ukitolewa atupe link, coz nabii zote huwa live na zipo ht uki search ss
 
Weka hapa huo utabiri kama unahakika na maneno unayoyasema. Hawezi mtu kuweka ushahdi wa kitu ambacho hakikuwepo. Na kama unabisha, weka ushahidi kwamba mimi Tabby sijafika Sobibo!.

Kila mtu anajua hilo labda kama umeingia jf jana..but clip zilikuwepo
 
Jamani tuliwai kujadili humu kuhusu mtumishi wa mungu wa kimataifa kutoka nchini Nigeria maarufu kama TB joshua.. kumtabilia Edward Lowassa kuwa rais wa tanzania mwaka huu,vipi bado miujiza inaweza kutokea?

Nafikiri hizo ni propaganda za kisiasa that day tbj hakutaja hicho kitu ambacho kimekuwa kikizungumzwa na wanajamvi.
Tbj huwa anakeep record za unabii anao toa unaweza tembelea website yake.
My take tusiwe Kama magaziti ya udaku kupost kila kitu hata ambacho huna uhakika nacho.
Binafsi ningependa niwekewe huo ushahidi coz nishasema kila unabii anakeep.....
Kama nawewe ulisikia tu kwa watu na ww ukapost hapa jifikirie Sana na mambo ya kiroho sio siasa shauri yako
 
Kila siku tunawaambia humu,tbj hajawahi kutoa unabii kuhusu El,hivi tuwaambiaje muelewe!?
Mbona mnapenda kumlisha maneno!!!

Haya anaejua au aliyeona huu unabii ukitolewa atupe link, coz nabii zote huwa live na zipo ht uki search ss

unaje ww uka search mana ndiye ubishaye
 
Back
Top Bottom