wakati muda huu watanzania wenzetu wakipiga kura zao kumchagua mbunge mpya jimbo la igunga; mhe. Edward lowassa yuko ndani ya synagogue church of all nations (scoan) kwa tb joshua, jijini lagos nigeria muda huu.
Source: Emmanuel tv, sunday live service.
na mesasge ya tb joshua leo ni "overcome your doubt"
ana mahangaiko huyu mmasai.. Kwa waganga yumo, kwa Yesu yumo, sijui tumueleweje? Popoooooooooooooooo........
Hata Nabii Joshua hajui roho yake itawekwa wapi, wala za wanaoabudu kwake wala roho yako, ukikwapua kutubu hakutoshi, bora kurejesha.Ndugu zanguni
kwanza nampongeza mh lowassa kwa kuendeelea kuwa na nafasi ya kumtumikia Mungu
leo hii lowassa amepata nafasi ya kuhojiana na Mungu na kutubu zambi zake je wewe
muda wakutubu utaupata hili ndilo swali la kukuuliza wewe ulie/naeangalia tb joshua
na kesho ukifa utakuwa wapi roho yako??