Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,325
- 144,753
- Thread starter
-
- #81
1. Kuacha kupiga kura.Kwahyo suluhisho ni nini?
Rawlings alimuondoa nani ? Another Military Leader Ingawa mwishoni alikabidhi madaraka ili watu wachague... ila baada ya kumuondoa another military leader nini kilitokea ?Haikuwa hivyo kwa Jerry Rawlings
a Nigerian politician, statesman, and former army general who served as Nigeria's military dictator from 1976 to 1979 and later as its president from 1999 to 2007.na Obasanjo.
Hiyo 1 na 2 aliekwambia wanategemea kura yako ni nani?? Hata wakaenda watu 100 tuu kupiga kura hao ni mashetani hawajali maana hawategemei kura..1. Kuacha kupiga kura.
2. Ukiacha kupiga kura, unawanyima uhalali.
3. Watanzania karibu milioni 70 hatushindwi tukiamua kuwatimua. Unaikumbuka Tahrir Square kule Egypt? Mubarak aliondoka au alibaki?
4. Jeshi letu liwe upande wa wananchi kama ambavyo jeshi la Misri lilivyokuwa kwenye upande wa wananchi na kukataa amri haramu toka kwa Mubarak.
Hata Museveni ni mwanajeshi, jeshi kakabidhi kwa mwanae.Which Civilians ? Kikwete, RA. We need to end this fckn hereditary successions...kila Siku ni mwinyi kikwete na wajukuu waje watutawale just to protect their Cake...ona sasa hivi familia ya Samia nayo ishaingiza wabunge wa familia 🗑️
Naona hulielewi suala la mandate na legitimacy.Hiyo 1 na 2 aliekwambia wanategemea kura yako ni nani?? Hata wakaenda watu 100 tuu kupiga kura hao ni mashetani hawajali maana hawategemei kura..
Inaonekana hata haupo tanzania uhalisia wa maisha ya mtaani huyajui
Wewe sio mpumbavu, wewe ni MXENGE, ushakojolewa KINYEO KIMEOZA unaandika ujinga, nchi ikipata uhuru vyawa kama nyie ni wa kufungwa.Naona hulielewi suala la mandate na legitimacy.
Unahemuka hemuka tu na hisia.
Kwaheri. Jibizana na wapumbavu wenzio.
Kama wingi wa watu ndio kujikwamua kwa watawala basi Afrika tungejitoa kwenye ukoloni mambo leo. Tanzania imefikia kuua kila anae ikosoa Serikali, kufunga wapinzani bila ya sababu muhimu.Nimewadanganyaje watu?
Watanzania tunakaribia milioni 70 lakini hatuwezi kufanya chochote dhidi ya kundi dogo la watu!
That’s an indictment on us.
We are too docile.
Kaf!rw£Naona hulielewi suala la mandate na legitimacy.
Unahemuka hemuka tu na hisia.
Kwaheri. Jibizana na wapumbavu wenzio.
Wingi wa watu si hoja kama watu wenyewe ni nyumbu na kondoo.Kama wingi wa watu ndio kujikwamua kwa watawala basi Afrika tungejitoa kwenye ukoloni mambo leo. Tanzania imefikia kuua kila anae ikosoa Serikali, kufunga wapinzani bila ya sababu muhimu.
Sawa mkuu, twende hivi. Wewe taja kati ya mapinduzi around 109 Afrika, ni yapi yalileta tija kwa nchi zile nami nitaje civilian governments zipi Afrika zilileta tija na kufanya yaliyotolewa ahadi.Ni civilian goverments ngapi hapa Afrika ambazo maraisi kabla ya kampeni walitoa ahadi nyingi na tamu lakini baada ya kupata madaraka hawajatekeleza?
Je mliaacha kuamini mfumo wa civilian goverment?
Sasa kwanini past records za mataifa mengine kuhusu jeshi kuchukua nchi na baadaye kuleta tamaa binafsi ziwe sababu ya sisi kutounga mkono Jeshi letu kuchukua nchi katika kipindi cha mpito?
Wanajeshi wa kipindi hicho walikuwa wajinga wajinga, vilaza wasio na shule wala exposure.Sawa mkuu, twende hivi. Wewe taja kati ya mapinduzi around 109 Afrika, ni yapi yalileta tija kwa nchi zile nami nitaje civilian governments zipi Afrika zilileta tija na kufanya yaliyotolewa ahadi.
Tuanze na wapigania uhuru almost 70% walitimiza waliyosema, yalikuwa machache sana ila ya msingi wakati nchi zinaanza.
Viongozi wabovu kuwahi kutokea Afrika wote ni wanajeshi.
1. Mobutu wa DRC
2. Jean Bokassa wa CAR
3. Hissene Habre wa Chad
4. Yahya Jammeh wa Gambia
Na wengine wengi na hao wote wameacha nchi zao za kufanya mapinduzi kila muda. Mfano hao Burkina Faso nchi inayoongoza kwa kufanya mapinduzi yaliyofanikiwa hapa Afrika inatuzidi nini, serikali yao yenyewe kuna miji haiwezi kanyaga 40% ya nchi. Au Sudan ambao waliwahi fanya mapinduzi mara 7 yakafanikiwa, 20 yakafeli wanatuzidi nini kimaisha. Si ni hawa walitengana na Sudan Kusini kwa vita na hawa hawa wanapigana jeshi dhidi ya kikundi cha zamani cha kulinda serikali iliyopindua iliyokuwa inaogopa jeshi pia lisiipindue?
Mbona katika list yako ya viongozi wabovu hapo hujamuweka Samia na Kikwete?Sawa mkuu, twende hivi. Wewe taja kati ya mapinduzi around 109 Afrika, ni yapi yalileta tija kwa nchi zile nami nitaje civilian governments zipi Afrika zilileta tija na kufanya yaliyotolewa ahadi.
Tuanze na wapigania uhuru almost 70% walitimiza waliyosema, yalikuwa machache sana ila ya msingi wakati nchi zinaanza.
Viongozi wabovu kuwahi kutokea Afrika wote ni wanajeshi.
1. Mobutu wa DRC
2. Jean Bokassa wa CAR
3. Hissene Habre wa Chad
4. Yahya Jammeh wa Gambia
Na wengine wengi na hao wote wameacha nchi zao za kufanya mapinduzi kila muda. Mfano hao Burkina Faso nchi inayoongoza kwa kufanya mapinduzi yaliyofanikiwa hapa Afrika inatuzidi nini, serikali yao yenyewe kuna miji haiwezi kanyaga 40% ya nchi. Au Sudan ambao waliwahi fanya mapinduzi mara 7 yakafanikiwa, 20 yakafeli wanatuzidi nini kimaisha. Si ni hawa walitengana na Sudan Kusini kwa vita na hawa hawa wanapigana jeshi dhidi ya kikundi cha zamani cha kulinda serikali iliyopindua iliyokuwa inaogopa jeshi pia lisiipindue?
Hivi kumuweka askari nyumba nyeupe na kwenye chama si ni sawa na putsch? Mbona tulishafanya hivi awamu fulani?putsch
Yeah, that is itBut when need be, let it be
Sasa ubaya wa mapinduzi ni kwamba kila mtu hujiona anaweza kuwa Rais. Tatizo linaanza pale Kapteni naye kasababisha mapinduzi, mara Kanali naye anaona kumbe anaweza, bado kuna Brigadier General, Major General, Lieutenant Colonel, Lt. General, General mwenyewe.Wanajeshi wa kipindi hicho walikuwa wajinga wajinga, vilaza wasio na shule wala exposure.
Idi Amin alikuwa mpishi tu jeshini.
Yahya Jammeh alikuwa mganga wa kienyeji.
Uh oh 🤣.
Wachinguzi wa mtandaoni washaingia kazini.
Hahahaaaa.