Ahaaaa wewe bwana wakati Mwajuma Kishindindo ameniambia una APPLE IPAD..
Ahaaaa wewe bwana wakati Mwajuma Kishindindo ameniambia una APPLE IPAD..
Leo unamkana ngoja aje aibiwe...lolHuyo epo ndio nani?
Nyanzala wake ana Whatsapp..Hahahaha!! Kigogo hadi na wewe, Nyanzala wako ana Blackberry nini?
Dah! We mkaree kumbe una kitu cha Liquideep BBM....just call on my BBM...sasa nakushauri tafuta ngoma nyingine ya Liquideep inaitwa ALONE utaikubali vilevile....Anybody knows Liquideep's song, BBM? Nlitaka niu'youtube afu niutupie hapa tuburudike kwenye huu msredi lakini TANESCO wamenikatili mpaka saa hizi kimya!
hahaha, this z so true jaman wanaboaje mmh.Wabongo bwana, eti siku hizi kama mtindo wa kuomba namba ya simu umeisha flani hivi...kila mtu utakayekutana nae anakuomba BBM Pin, eheeeee msinifanyie hivyo jamani sio kila mtu ana Blackberry...
hahaha, this z so true jaman wanaboaje mmh.
umenikumbusha yaliyonikita smwhere juz kat.
wagongo kwel bana achen izoo.
Kumbe nawe huna lol wabongo bana
Hahahaha!!! Kazi ni Kwako....hahaha, this z so true jaman wanaboaje mmh.
umenikumbusha yaliyonikita smwhere juz kat.
wagongo kwel bana achen izoo.
hiyo nimeipendahe he he he
kuna mmama mmoja ofisini
nilimsikia analalamikia hili
anasema lazima mumewe amnunulie BB
kachoka kuomwa pin ambayo hana
mie nimeamua kununua zile pin za kufungia nepi
anayeniomba nampa hiyo.
Hahahaha!!! Kazi ni Kwako....
Hahahaha!!! Kazi ni Kwako....
naomba pin yako?Mi nawaambia wazi sijui ni kitu gani hiyo maana natumia nokia ya tochi
sasa mimi na BBM Pin sijui ndo nini
Sikukuu ilikwendaje mkuu
naomba pin yako eheheeeesi bora ale apple abaki na ipad peke yake?
Smile mimi natumia nokia ya tochi sasa pin ya wapi aisenaomba pin yako?
...hii nayo mpya...Nyanzala wake ana Whatsapp..
,,bora wewe...unatumia tochiSmile mimi natumia nokia ya tochi sasa pin ya wapi aise
nasikia hata nokia tochi nazo zina pin zake ..hahahahaha..kwema mkuu@Mr RockySmile mimi natumia nokia ya tochi sasa pin ya wapi aise
naomba pin yako eheheeee