Bbm Pin....

Huku kwetu ndio zimepamba moto. Kila mtu anataka awe nayo
Unajua Rejao hii BBM Pin ilikuwepo muda mrefu tu ingawa wengi walikuwa hawajui sasa huku Bongo kitu kikiishajulikana halafu wewe ukiwa hauna interest nacho inakuwa kama kero sasa..
 
Ila nayo pia kama imeshaanza kupitwa na wakati
 
Wakikuomba tena waambie wakununulie kwanza hiyo BB alafu utawapa pin.
 
Wabongo bwana, eti siku hizi kama mtindo wa kuomba namba ya simu umeisha flani hivi...kila mtu utakayekutana nae anakuomba BBM Pin, eheeeee msinifanyie hivyo jamani sio kila mtu ana Blackberry...

hahaaaaaa usinifanyie hivi nipe bb pin bana
 
:shock:Heh, technolojia na mambo yake, itakuja na skype. Heri ya sikukuu mkuu



 
Kwani mtu kutumia BB ndio amesema yeye ni bora kuliko wewe usiyetumia,si preference tu cmon jf! Mbona sometimes mnasound kiswazi sana.
 
Mambo yote Whatsapp ambayo unaweza kuitumia kwenye iphone,blackberry,nokia na nyingine sio kama hizo pin ambazo zinakuwa limited kwenye bb tu
 
mie ni mswahili
nikisaundi kiswahili
usinilaumu

Kwani mtu kutumia BB ndio amesema yeye ni bora kuliko wewe usiyetumia,si preference tu cmon jf! Mbona sometimes mnasound kiswazi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…