:lol: Kwahiyo next year namba ya simu haunipi tena
Kongosho habari za utokako maana niliambiwa ulitumbukia kwenye pipa la ulanzi
Kuja kuibuka umelewa hujitambui
Pole sana
Bado na besidei na unyago na graduation ya chekechea na kumunio duh balaa
Mi nawaambia wazi sijui ni kitu gani hiyo maana natumia nokia ya tochi
sasa mimi na BBM Pin sijui ndo nini
Sikukuu ilikwendaje mkuu
:shock::shock:...lolHupati namba ya simu wala email, mwendo wa bb pins tu! Afu kuna mtu ananiambia hapa kariakoo unapata blackberry kwa tsh 60,000 na inaingia line 4! Yaani before easter kitu cha bb ndani! Utanipa bb pin yako?
uzuri wa ulanzi na togwa havina heng'iova
hayo mambo yenu ya akina Jack daniels, john walker na sijui malibu
siyawezi
Hupati namba ya simu wala email, mwendo wa bb pins tu! Afu kuna mtu ananiambia hapa kariakoo unapata blackberry kwa tsh 60,000 na inaingia line 4! Yaani before easter kitu cha bb ndani! Utanipa bb pin yako?
Rejao anasema zipo Bbm za tochi, nadhani angalia specs za simu yako unaweza kukuta kuna BBM pin,
Hupati namba ya simu wala email, mwendo wa bb pins tu! Afu kuna mtu ananiambia hapa kariakoo unapata blackberry kwa tsh 60,000 na inaingia line 4! Yaani before easter kitu cha bb ndani! Utanipa bb pin yako?
Hahahahahah
Ila mbona sikukuona sasa kwenye club yetu
Nilisubiri sana sikukuona aise
Unapewa na betri mbili za kukusaidia yaani kama askari anakabidhiwa smg na magazini mbili za ziada, Ukinunua hiyo unapewa na tshirt ya kuukaribisha mwaka 2012 :lol:
:shock::shock:...lol
Unapewa na betri mbili za kukusaidia yaani kama askari anakabidhiwa smg na magazini mbili za ziada, Ukinunua hiyo unapewa na tshirt ya kuukaribisha mwaka 2012 :lol:
ndo maana kwenye ile sredi ya mliman city
nimesema napenda sana Kariakoo mall vitu bei rahisi afu orijino
na sasa hivi nampango wa kwenda Tandale Mall
lazima bb orijino 24,000 line 6 na waranty ya 0seconds
na mi nilikuwa nataka kuuliza hivohivo...Jamani hebu tufafunulieni jamani hiyo bbm pin ndo nini?me natumia tochi hapa
Hehehe! Safi kabisa, nadhani nivute target hadi valentine's day! Mchina hana maana hakawii kuacha kutengeneza blackberry akaleta blackaberry! Tukakosa uhondo bureee! Asante mkuu! Chaja hawatoi 2?
mkuu upo miss you sana mimi namshukuru mungu kwa sikukuu hzi nilipewa kablackbery?BB zinaeleweka sana mkuu
Sasa kanonia kangu kameandikwa Nokia hakawezi kuwa BB
Na BB torch zinaeleweka bana
Tandale Mall! hapo ukishanunua hakikisha unaisunda kwenye jeans huchelewi kusachiwa, unauziwa kitu kiko on ukifika home ukikizima hakiwaki tena, na inakubidi urudi tena kwenye mall kuna fundi anatengeneza hizo bb kwa kompyuta