TunawasaidiaKwa siku kadha sasa, taarifa zimekuwa zikienea kwenye mitandao ya kijamii kwamba Rais wa Tanzania John Magufuli amewataka wanaume nchini Tanzania kuoa zaidi ya mke mmoja.
Taarifa hizo zinadai kwamba kiongozi huyo amependekeza hilo kama suluhu ya kupunguza ukahaba miongoni mwa wanawake wa Tanzania.
Je, kuna ukweli wowote kuhusu madai hayo? Taarifa hizi zilianza wapi na zinadai nini?
Taarifa ya sasa ambayo imekuwa ikisambazwa sana imeandikwa kwa lugha ya Kiswahili na kuchapishwa katika mtandao wa nipasheonline.com, mtandao ambao bila kuwa makini huenda ukadhani una uhusiano na gazeti la Nipashe la nchini Tanzania ambalo huchapishwa na ippmedia. Kampuni hiyo huchapisha pia gazeti la Jumapili kwa jina Nipashe Jumapili. Hata hivyo ippmedia haina uhusiano wowote na mtandao huo. Taarifa zake za Kiswahili hupakiwa katika tovuti yeye jina ippmedia.com/sw, mtandao ambao umekuwepo tangu mwaka 1998.
Hii Nipashe basi ni ya wapi?
Uchunguzi wetu umebaini kwamba tovuti hii imesajiliwa na mhudumu wa mtandao aliyepo jijini Nairobi. Mtandao huo ulisajiliwa mara ya kwanza Agosti mwaka 2017. Hivyo basi ni mtandao ambao umekuwepo kwa mwaka mmoja hivi.
CHANZO: BBC
Namimi nasema; Umbea, husuda na uongo ndio sifa za wakenya. Oooh Olduvai Gorge ipo Kenya, oooh Kilimanjaro ipo Kenya. Acheni upuuzi
Eti majority ya Wakenya hawajui Rais wa Tz!! Wale jamaa walioanzisha #What_Would_Magufuli_Do na #Magulification kule Twitter walikuwa Wareno?! Au kwa vile mmeona ameanza kupuyanga mnajifanya hamumjui?! Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.ok so 50 million kenyans relayed wrong information about the tanzanian president...my friend, majority ya wakenya hata hawajui rais wa tz ni nani na hawana hata interest yoyote ya kumjua....As my friend has said, taja hao walioeneza habari usije ukawalaumu wakenya bure...
Calm down, brother... Hakuna haja ya ku-panic kwa vitu vidogo kama hivi...ewe mlaji albino toka maeneo ya tandale, majority of kenyans dont care abt ur president..na usinipangie cha ku quote pimbi mkubwa ww
Wakenya wengi hawajui Rais wa Tanzania?ok so 50 million kenyans relayed wrong information about the tanzanian president...my friend, majority ya wakenya hata hawajui rais wa tz ni nani na hawana hata interest yoyote ya kumjua....As my friend has said, taja hao walioeneza habari usije ukawalaumu wakenya bure...
so wakenya wote walishiriki katika hizo hastag za what will sijui nani do? my friend, mi nakwambia ukweli mtupu ila sikulazimishi uniamini...anyway somo lilikuwa simple...do not generalise kenyans...kama kuna baadhi ya wakenya waliofanya makosa haya bas watajwe mara moja...mambo ya kutuambia sijui rais anajulikana wapi nobody even caresEti majority ya Wakenya hawajui Rais wa Tz!! Wale jamaa walioanzisha #What_Would_Magufuli_Do na #Magulification kule Twitter walikuwa Wareno?! Au kwa vile mmeona ameanza kupuyanga mnajifanya hamumjui?! Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.
yep...majority of kenyans dont know and dont care...sijui mbona huwa mnafikiri dunia inawazunguka nyie tumara mmeibiwa mlima...mara sijui mmeibiwa nini... duh! mngalijua ukweli wa mamboWakenya wengi hawajui Rais wa Tanzania?
Mbwalata...
Kwani wewe huelewi anachosema wewe. Tuliuchukua mkoba tukaenda mlima.Kilimanjaro tukauweka hapo ndani halafu tukaenda kuushusha huko turkana. Sasa mlima wao upo turkanaata ndio nami najiuliza...BBC huwa hawaandiki pumba kama haya...huyu alitaka tu uchokozi...mambo ya kutuambia tumewaibia mlima...duh! mlima mzima pia unaweza ukaibiwa?
hahahaha....hawa watu huwa wanashangaza sana...yaani mtu anaamka kuja kufungua uzi eti wakenya wameeneza habari flani kuhusu rais au mlima umeibiwa...yaani wakenya hawana mambo muhimu ya kufanya auKwani wewe huelewi anachosema wewe. Tuliuchukua mkoba tukaenda mlima.Kilimanjaro tukauweka hapo ndani halafu tukaenda kuushusha huko turkana. Sasa mlima wao upo turkana
www.bbc.com/swahili/habari-45755786Sio mara yake ya kwanza kupost upuzi bila link. Ni kitu amezoea.