Nimejaribu kumsoma mara mbili mbili nimetoka kapa. Kanishangaza sana.Watanzania nyie watu wa ajabu sana...hii report inatetea watoto wenu na dada zenu wanaoonewa huko uarabuni still hamtaki kusikia....
Kwa nn serikali isitumie report hii kama base ya kutafuta ukweli kama amuwaamini hao walioiandaa?
Mkuu,,,mfanyakaz wa ndani ni kama mfanyakazi mwingine,,anaeajiriwa kwa mkataba na kulipwa kulingana na makubaliano yaliyokuepo,,,,ubaloz wa Tanzania Oman ndo Tanzania yenyewe,,na moja ya majukum yake ni kusimamia wananchi wake,,,siez ongelea report hii kukataliwa kusomwa maana sijui sababu haswa za kukataliwa ni zipi,,,lakin kama hakuna sababu,,ni sawa kabisa report hii ikisomwa hapa kumaanisha kuwa balozi hawatekelezi majukum yao na watz tunapewa taarifa kwanza kuijua hali halisi maana Serikali ni sisi kwanza.Balozi anaingiaje hapa? Mtu mzima kaenda kivyake Oman ubalozi ubahusikaje? CUF wengi wanazamia Arabuni au EU, ubalozi unahusika vipi?
Hawa human right watch nao wehu tatizo limetokea Oman halafu ripoti mnazindulia Tanzania kwa kiswahili hao waoman wataelewa kweli
Wewe kuna wanaojenga mabondeni serikali inawaondoa ili kuokoa maisha yao, kwa nini wasiachwe kwa kuwa hawakupelekwa na serikaliKwani wanaoteswa hupelekwa na serkali?
hivi housegirl wako anaanza kazi na kumaliza saa ngapi? tuanze na hilo kwanza?Wewe unaonekana ndiyo mwenye tatizo. Watoto wako wanachukulilwa kwa hila na kwenda kuteswa. Unakataa kupewa taarifa itakayokusaidia kusimamia maisha ya watoto wako kwa namna nyingine, badala yake unataka eti yule mtesi wa watoto wako anayewachukua kwa hila ndiye apate hiyo report!.
Hii ni nini? Tanzania imekwisha!
Hakuna haja ya kuzuia uzinduzi wake . Bora ukweli usemwe ili waarabu wajue kuwa tunajua matendo yao
Oman kiswahili kipo na hata kiongozi wao alipotembelea tanzania aliongea kiwahili.Hawa human right watch nao wehu tatizo limetokea Oman halafu ripoti mnazindulia Tanzania kwa kiswahili hao waoman wataelewa kweli
Balozi anaingiaje hapa? Mtu mzima kaenda kivyake Oman ubalozi ubahusikaje? CUF wengi wanazamia Arabuni au EU, ubalozi unahusika vipi?