mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,312
- 8,943
- Thread starter
- #21
Haya ni mambo mazito mkuuSasa hicho kisimi cha nyoka wakilana nyoka kwa nyoka nao wanaona utamu kama kisimi cha binadamu? Kuna binadamu wa eneo fulani la dunia walishatunga sheria ya makosa ya kujamiana, kisimi cha mtu kikikatwa/kukeketwa mkeketaji ataishia kufungwa jela. Sasa kisimi cha nyoka sijui kama nacho kimetungiwa sheria ili kisikatwe/kukeketwa