BBC Swahili wamekuwaje kuhusu mkataba wa bandari?

vibesen xxx

JF-Expert Member
Jul 23, 2022
2,668
5,278
Hawa BBC Swahili watakuwa wamepokea nini unadhani nikiwasikiliza online wanakwepa kabisa kujadili Waarabu kuuziwa nchi viongozi.

Najaribu kukumbuka hawa watu walikuwa na ueledi sana kipindi Hayati Magufuli yupo madarakani walihoji bila woga.

Walihoji udhaifu Magufuli kubinya demokrasia.

Lakini sasa wapo kimya na ufisadi unaofanyika kule Tanganyika, nasema bbc kwasababu yeye anakuwa na nafasi zaidi kuliko media za Tanganyika kuripoti hizi habari za Tanganyika kuuzwa.

DW- Swahili ndio kidogo wanamulika hii kashfa ya nchi kuuzwa.

BBC Swahili au tuunge dot kuanzia kwa zoora yonos.
 
Hawa BBC swahili watakuwa wamepokea nini unadhani nikiwasikiliza online wanakwepa kabisa kujadili Waarabu kuuziwa nchi viongozi

Najaribu kukumbuka hawa watu walikuwa na ueledi sana kipindi Hayati Magufuli yupo madarakani walihoji bila woga

Walihoji udhaifu Magufuli kubinya demokrasia

Lakini sasa wapo kimya na ufisadi unaofanyika kule Tanganyika, nasema bbc kwasababu yeye anakuwa na nafasi zaidi kuliko media za Tanganyika kuripoti hizi habari za Tanganyika kuuzwa

DW-swahili ndio kidogo wanamulika hii kashfa ya nchi kuuzwa

Bbc swahili au tuunge dot kuanzia kwa zoora yonos
Kwani clouds radio one usafi na radio free Africa wanaliongelea ?
 
tupe uthibitisho
Mkuu usihangaike na hyo jamaa....ukiangalia namna anavyotapatapa na uandishi wake unaona kabisa ni mtu ambaye ana msongo wa mawazo kwa namna ambayo kuna maslahi yake yanaenda kubinywa au analipwa kushutumu tu....maana masaa 24 yeye ni kubweka tu....na thread kibao anaanzisha...kwahiyo ni kumpuuza tu
 
Back
Top Bottom