BBC Swahili Tumewachoka!


Ni ukweli na siyo uongo pole....hapo ulipo saivi kuna kitu umevaa kimeanfikwa made in TZ????
 

Mkuu hivi wametangaza habari ya uongo? Shilingi ya Tz na Kenya unaweza kuzilinganisha? Ukweli ni kwamba hela ya Tanzania na Kenya zina tofauti kubwa sana ya thamani,kenya wapo mbali...ukija katika maendeleo pia Kenya watuacha sana,jaribu kufuatilia. DAWA NI KUIONDOA CCM MADARAKANI kwa kuwapigia kura wagombea wa UKAWA.
 

Hebu niambie shilingi ya Kenya ilikuwa katika thamani ipi kabla China hawajaamua kushusha thamani ya hela yake kwenye kuexport bidhaa zake. Halafu uilinganishe na shilingi ya Tanzania. Ni kwanini Kenya hawajaathirika na hilo?
 
Ni kweli!! Kwani ni uongo ndg? Huwezi kuifananisha sh ya kenya na ya tz hata kidogo
 
Hebu niambie shilingi ya Kenya ilikuwa katika thamani ipi kabla China hawajaamuabkushusha thamani ya hela yake kwenye kuexport bidhaa zake. Halafu uilinganishe na shilingi ya Tanzania. Ni kwanini Kenya hawajaathirika na hilo?

Aliyekwambia shilingi ya Kenya haijaathiriwa nani?
 
Kwani gazeti la Mwananchi halipendelei Kenya?
 
Ukweli Mtupu ... CCM must go ... CCM imeua Viwanda, Imeshindwa kusimamia Maliasili zetu, Imeingia mikataba ya kishenzi, imeua viongozi mahiri na wananchi wasiokuwa na hatia ... CCM imeua wananchi kwa kuwalinda wawekezaji ..
 

Kwani wanaongopa kuwa sh haijashuka?sh ya Tz unaweza kuilinganisha na sh ya Kenya?leo hii Kenya wana treni ya mwendo kasi,hapa Tanzania ndio tumeiua kabisa reli yetu ya kati alafu unawalilia BBC?BBC siyo kama TBC
 
Hii ni myth ' Wakenya wasiojua Kiswahili' Yaani nyie Kiswahili chenu cha gali, nzuli, mshahala, kula (kura) ndiyo Kiswahili? Kenya hutoa kila mwaka wanafunzi 4000 waliohitimu BA ya Kiswahili. Nyie blabla blaaaaa

Kweli mkuu Tanzania ni ngonjera tuuupuuuu
 
Watangazaji na waandishi waandamizi wa BBC wengi ni wakenya ndio sababu ya yote hayo.

Hiyo siyo sababu,bali wanacho fanya ni hali halisi,Tanzania hakuna cha kujivunia
 
Tusitukane tuangalie penye ukweli, je ni kweli shillingi haijashuka? nini cha kufanya ili tusiwe mfano mbaya wa kila siku? inawezekana ukweli kuwa BBC swahili imekuwa kijiwe cha wakenya kujitangaza, sisi tunafanya nini?

Wao ni mafanikio,sisi Tanzania ni majungu tu na kutukana matusi majukwaani alafu watu wanafurahia kama mazuzu
 
Si usikilize tbc fm; yawezekana unafurahia sana kudanganywa na kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa!
Nchi imeozaa hii, unadhani ni kwanini watu wanataka mabadiliko??? #TAFAKARI.

Asikilize TBC,radio Uhuru na kusoma magazeti ya Uhuru na mzalendo
 

Huo ndio ukweli lkn kwa mwana ccm hataki kuukubali
 

Asante mkuu kwa kuweka mchanganuo na kutujulisha hali halisi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…