hayaland
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 712
- 399
sipati picha CCM wakidondoka katika uchaguzi mkuu ngazi ya urais nani atawalilia,kwa sababu vitendo wanavyofanya sio kabisa kwa upinzani na lengo la upinzani ni kuishinikiza serikali ilioko madarakani kusukuma gurudumu la maendeleo kupitia sera na mikakati yake iliyojipangia.
wananchi tuamke tupinge vitendo hivyo kwa nguvu ya pamoja.
wananchi tuamke tupinge vitendo hivyo kwa nguvu ya pamoja.