Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,423
Mbona Lowassa walipokea hela yake jana na yeye ni mwislam, alafu mnaojiona wenye dini na ndio hao Wa kwanza kula rushwa ya ccm, nyie ni njaa hmna lolote, kwahiyo Tanga wote ni Waislam,chocheeni tu udini mkiwa na imani kuwa mtakuwa na uwezo Wa kuizima au mnafikiri vita vya udini mnaochechea nyie waislam hamtakufa ,vita haina macho,unaweza kutumia lugha za kichochezi za kidini kufurahisha mabwana zako ccm lakini haujui kuwa unapanda chuki mbaya sana ya kidini, ukisema Tanga maustadh wengi hawatki chadema je' siku mgombea mwislam akija mathalani mkoa Wa Mara ambao Wkristo ni wengi naye afanyiwe fujo, hata ndio kusubiria ukuu Wa Wilaya kwa njia tambua kuwa unagawa nchi, waambie na hao wanaokutuma,utatumbukiza nchi vitani kwa huu upuuzi Wako chochea na endelea kuchochea!!!
Ila hoja yangu utakua umeelewa pamoja na akili yako ndogo,katibu mkuu a.k.a mchumba wa mshumbusi aliahidi kua endapo wataingia ikulu moja ya mambo watakayofanya ni kuhalalisha pombe,kwa akili tu ya chekechea wilaya ya tanga kwa imani ya kidini kila mtu anafahamu sasa swali je maustadhi wa pale tanga watakubaliana na tamko la slaa?ukipata jibu ndo ujue chadema wanapoteza ghalama na muda tu tanga.