BAWACHA wafanyiwa fujo mkutanoni Tanga

BAWACHA wafanyiwa fujo mkutanoni Tanga

Aunt Nasma una matatizo kichwani huwezi kuwa mtu wa Tanga wewe hatuko hivyo

Kama unahitaji kua mtu wa tanga hakuna wakukuzuia nchi hii yetu sote,lakin kamwe usijiite mtu wa tanga kwa maana ya uzawa,sawa binti.
 
Nasema hivi kama suala la pombe lipo kwenye ilani ya chadema kama alivyobainisha slaa,pwani msije ni itakua ni matumizi mabaya ya fedha na muda.
 
Pamoja na kuita watu wa pwani wajinga sidhani kama tunaweza kuruhusu padri awe rais wa nchi hii,labda iwe ni siku ya mwisho wa dunia hii.

Kuna uwezekano wowote kwa harakaharaka Tanzania ikapata rais asiye na din?

Kwa uchochezi uliofanya tangu page yakwanza ulistahili adhabu. UDIN NA UCHOCHEZI PIA UBAGUZI NI SUM YA AMAN.

MODERATORS WANAKULEA, Ni hatari sana kudekeza wachochezi wa kidin, maana ni suma hatari kwa uhai wa Taifa.
 
Kuna uwezekano wowote kwa harakaharaka Tanzania ikapata rais asiye na din?

Kwa uchochezi uliofanya tangu page yakwanza ulistahili adhabu. UDIN NA UCHOCHEZI PIA UBAGUZI NI SUM YA AMAN.

MODERATORS WANAKULEA, Ni hatari sana kudekeza wachochezi wa kidin, maana ni suma hatari kwa uhai wa Taifa.

Wadini ni wale wanaongoza chama kwa minajiri ya kidini sio mimi.
 
Mods huyu anastahili ban ya maisha, ni mbaguzi, anawatukana watanzania wenzetu walioko Tanga. Chadema acheni chuki kwa waislam

..........Acha kuweweseka we gamba! Mbona husemi chochote kuhusu huyo nasma jinsi anavyoingiza habari za udini katika masuala ya siasa. Muwe na akili timamu muda mwingine.
 
Kuna uwezekano wowote kwa harakaharaka Tanzania ikapata rais asiye na din?

Kwa uchochezi uliofanya tangu page yakwanza ulistahili adhabu. UDIN NA UCHOCHEZI PIA UBAGUZI NI SUM YA AMAN.

MODERATORS WANAKULEA, Ni hatari sana kudekeza wachochezi wa kidin, maana ni suma hatari kwa uhai wa Taifa.

Shida sio raisi kua na dini shida ni kuwepo kwa chama cha kidini kinachoplan kuingia ikulu.
 
Acha kutukana watu na dini zao kwa mambo ya kipuuzi ya siasa za kitanzania zisizo za kweli ww laki si pesa aka kanga moko wewe.
Unadhani Tanga watu wote ni wajinga kama wewe. Kama matusi ni mtaji wa kisiasa toeni chama chenu cha wachaga Tanga mkafanye kampeni moshi kusiko na udini. Tukileta idini kwenye vyama basi Chadema hamna sifa hata mnaongozwa na mchungaji mstaafu ila waislam wamenyamaza kwa hili unafikiri ni wajinga kama wewe.
Siku zote nchi hii anaeleta udini ni mwislam ila nyie kuongozwa na mapadri kwenye vyama c udini na viongoz wenu kupinga mambo binafsi ya waislam hata kikatiba c udini?
Laiti kama kuna chama Tanzania kingeongozwa na mufti mstaafu sijui mngekiitaje nyie ila waislam wanawaunga mkono na chama chenu kinachoongozwa na padre mstaafu kweli wanafiki hawajifichi hata cku moja.
Sasa kwa kukusaidia tuu nchi hii Chadema msahau kuiongoza pamoja na ujinga wetu watu wa pwani ila ndio msahau hata mkirubuni kura zetu kuungana na cuf ni bure.
....jipangangeni chama chenu cha wachaga na familia moja ni hayo tuu. .....
laki si pesa umehamia chadema mara hii?
 
Last edited by a moderator:
Shida sio raisi kua na dini shida ni kuwepo kwa chama cha kidini kinachoplan kuingia ikulu.

1. Unaweza kuorodhesha vyama ambavyo wanachama wake hawana din?

2. Katiba ya Tanzania

A) Inatambuwa uwepo vyama vya siasa vya kidin? Kifungu gan?

B) Inatambuwa madaraka kwa maana ya din ya mtu, kwamba din au dhehebu ama iman flan ndiyo pekee inahaki kutawala Taifa la Tanzania? Kifungu tafadhali
 
Nani kasema CHADEMA inawachukia waislam wewee.... acha fikara finyu.
 
Chadema wanawachukia sana Waislam

Chadema haiwachukii waislam wanawapenda sana isipokuwa hiyo ni silaha ya ccm ya kushinda chaguzi kwa kugawa watu kwa dini, ukabila na ukanda,bahati mbaya sana Waislam wanapanic kuhusu propaganda hizi za uongo kumbe lengo la ccm wagawe watawale, kwa upande wakristo wao Wako kokote kuna walioko ccm,chadema na cuf pamoja na Nccr , lakini wenye chuki bc wamefaulu kujaza waislam ujinga pasipo na wao kutafakari, kwa mfano kuna wachungaji kama watano Wako bungeni, Mb mch.Israel Ntse( karatu) mch mb msigwa(iringa), kuna Lwakatare ( viti maalum) pia kuna mbunge Wa ccm toka mbeya ni Mchungaji jina nimemsahaau,kwahiyo hawa ccm wadini watuambie hayo majimbo Waislam wananyanyaswa vipi na hao Wabunge kwakuwa Wachungaji, pili watueleze Silaa Rais atawanyanyasaje na katiba inasemaje juu ya kazi za Rais, si kuleta utumbo za kidini eti ndio silaha ya ccm ya ushindi !!!
 
Niuendawazimu kama sio upumbavu kusema kuwa Tanga hakuna BAWACHA,huenda yapo makalio yako!
 
Back
Top Bottom