MKONGA
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 667
- 458
Vijana wanaoaminika kutumwa na ccm leo wamevamia mkutano wa Bawacha CDM huko tanga na kufanya vurugu zilizopelekea baadhi ya watu kujeruhiwa
Hata hivyo mkutano huo uliokuwa na vibali vyote na baraka za RPC na OCD tanga haukuwa na ulinzi wala polisi hawakuonekana wakati wa fujo.
ITV Habari!
Hata hivyo mkutano huo uliokuwa na vibali vyote na baraka za RPC na OCD tanga haukuwa na ulinzi wala polisi hawakuonekana wakati wa fujo.
ITV Habari!