BAWACHA mnaiangusha CHADEMA!

Mkuu kwa nini naumia nilikwenda kijijini kwetu sehemu za Singida,kiukweli CDM inakubalika sana pale
na vuguvugu la mageuzi kwelikweli,ila tatizo nililoliona ni wanawake kutwa na vilemba vya CCM vichwani
nikaamua kufanya utafiti mdogo kwa nini akina mama wako nyuma kwenye mageuzi ,majibu yao ni karibu
yalifanana kuwa wao wanatembelewa na kujaliwa na akina mama wa CCM hawajaona mama wa CDM hivyo
wanadhani CDM inatakiwa kuwa kwa vijana na wanaume.Nilichogundua ni kuwa UWT wanajitahidi kuwabana
wanawake hasa vijijini wakijua ndio angalau wanaweza kupata kura zao.Viongozi Bawacha kama hamna wito
wa uongozi kaeni pembeni.
Hili ni kwa nchi nzima mkuu UWT wameshikana na akina mama BAWACHA WANAWAZA VITI MAALUMU
 
Nikisikiaga kitu kinaitwa BAWACHA natamani kutofuatilia mambo ya siasa,nimeshasema mara kadhaa
BAWACHA ni janga ndani ya CDM,kuna wakati mpaka ilimlazimu DR kuja kujibu hoja hapa jamvini na
tukaambiwa sasa tutawasikia,lakini cha kusikitiasha ndio wamezidi kuwa kimya.Kama kuna eneo linalohatarisha
ushindi wa CDM ambao uko wazi 2015,ni BAWACHA."Mna bahati nyinyi wamama wa CDM kazi yangu hainiruhusu
kujihusisha na siasa,ningeanza huko chini na moto wangu mngechangamka wenyewe.Agh.......may be wanapoingia
kama akina Esther Wasira wakiingia ndani ya BAWACHA wanaweza kuleta CHANGAMOTO.
wao ndani ya chama kuna wenzao kama mbunge mtulano jamani yeye anachowaza ni kuwa lini na namna gani bwana mdogo heche adhurike badala ya kujenga jumuiya yao ya akina mama ndani ya chama kuingia vijijini ikizingatiwa jumuiya ina wanawake zaidi ya 20,wabunge! kuna wana mama wao ni kupanga mipango ya kuihujumu bavicha tena wazi mfano mama philipa mturano(mb) chonde mama punguza chuki binafsi ndani ya chama
 
Mturano ana nafasi gani ndani ya BAWACHA MKUU
 
Mturano ana nafasi gani ndani ya BAWACHA MKUU
hawa ni wabunge akina mama ni wajumbe kwa nafasi za jinsia kwenye baraza mkuu so huyu mama ni mjumbe wa mkutano mkuu wa akina mama nchi nzima na nadhani anaingia vikao vingi zaidi a
 
Tatizo la BAWACHA ni zaidi ya Uongozi. Fungu la kuendeshea shughuli zao kwa Mwaka ni shilingi ngapi. Huwa wanapewa chochote kwa ajili ya kazi zao za kila siku na zile za kimkakati?
 
Tatizo la BAWACHA ni zaidi ya Uongozi. Fungu la kuendeshea shughuli zao kwa Mwaka ni shilingi ngapi. Huwa wanapewa chochote kwa ajili ya kazi zao za kila siku na zile za kimkakati?
Hyo ni hoja dhaifu sana mkuu.kuwezeshwa ni kitu kingine na ufanis ni kitu kingine
 
Hyo ni hoja dhaifu sana mkuu.kuwezeshwa ni kitu kingine na ufanis ni kitu kingine
CHADEMA inahitaji wachezaji mahiri na siyo mashabiki wapayukaji. Kama unashindwa kumeng'enyua hoja nyepesi namna hii zile za uchambuzi wa utawala wa Majimbo utaweza?

Wakati wa uzinduzi wa M4C unadhani ni kwa nini Mbowe alikuwa anawahimiza watu kuchangia chama? Huwezi kudhani tu kwamba BAWACHA itaendesha shughuli zake bila fedha, hata utatafiti tu wa vyuoni unatumia fedha. Unajua kwamba Operesheni moja tu ya M4C hutumia zaidi ya shilingi milioni 65? Sasa hao BAWACHA unataka wawe na Ufanisi bila kuwa na nyezo za kuleta huo ufanisi!!?
 
Mkuu hujanielewa kuwezeshwa ni muhimu lakini uongozi wa BAWACHA UMEPWAYA HILO HALIHITAJ RAMLI 2ACHA USHABIKI
 
Sijawahi kuona mwanamke mwenye uwezo kama yule hapa tz, machozi yalimtoka kitila mkumbo baada ya presentation ya Esther, akashindwa kusummery, pia ESTHER aliwavuruga wachokonoa maada wengine, maneno yake kama sumaku, yalinasa mioyoni mwa watu. MUNGU AMPE MAISHA MEMA, MUNGU AMPE MUME MWEMA... AMEN, nadhani hata urais anafaa 2020
 
hoja si kuwa ameingia lini il ameonyesha uwezo mkubwa anafaa kupewa majukumu ya kuhamasisha wanawake wajiunge na chama pamoja nauifufua bawacha
 
Bavicha, sasa kumekucha amkeni. Mmeona Esta Wasira? Tafuteni hawa, sio lazima wawe viongozi, watumieni kujenga BAWACHA.

Mkuu huwezi kuicopare BAVICHA na BAWACHA ndani ya CDM. BAVICHA ni moto wa kuotea mbali ndani CDM. Vijana wanafanya kazi yao vizuri. Leo waku huku kesho wako kule. Leo ndani ya nchi kesho nje ya nchi. Heche akiwa Bukoba kamachumu Munishi yuko eneo lingine. Kwa hiyo BAVICHA haihusiki hapa. Labda kama wewe ndo umelala
 
Ni kweli huwez kuifananisha lakini mafanikio ya BAVICHA NI YA KATIBU NA MWENYEKITI TU VIPI MIKOANI?
 
Katika kuelekea uchaguzi wa 2015 kila mmoja ndani ya CHADEMA anatakiwa kuwajibika kwa nafasi yake ndan ya chama kwa pamoja kama kweli 2nahtaj mageuz ya kuundoa mfumo wa utawala wa CCM ulioshindwa.Katika hili uwajibikaji kwa upande wa BAWACHA ni kama haipo na hili ndio kundi ambalo
lingeweza kuwaunganisha wakinamama ambao ndio wamekua mara nyingi wapiga wengi kuliko kundi lolote ndan ya jamii.Kunahtajka mabadiliko ya haraka ndan ya BAWACHA la svyo CDM tutaishia kulalamika.ESTER WASSIRA AMEONYESHA WELED WA HALI YA JUU KATIKA KUJENGA HOJA NA MAONO YA MSINGI KWA KIPINDI KIFUPI NDAN YA CDM HVYO ANGEINGIA KATIKA BAWACHA ILI KUWAUNGANISHA WAKINA MAMA KUIUNGA MKONO CDM UONGOZ UZINGATIE NAFAS YA KINA MAMA KATIKA KUCHUKUA DOLA 20I5 NI KUBWA HVYO MKAKAT NI MUHIMU KWA KUNDI HILI KWA MASLAH YA TAIFA NA CDM NAWASILISHA
ukweli tupu mzee
 
Sijawahi kuona mwanamke mwenye uwezo kama yule hapa tz, machozi yalimtoka kitila mkumbo baada ya presentation ya Esther, akashindwa kusummery, pia ESTHER aliwavuruga wachokonoa maada wengine, maneno yake kama sumaku, yalinasa mioyoni mwa watu. MUNGU AMPE MAISHA MEMA, MUNGU AMPE MUME MWEMA... AMEN, nadhani hata urais anafaa 2020

presentation hiyo aliiandika kabla hata hajachukua kadi chadema na hajaiandika peke yake
haya tunamsubiri kumsikia tena
 
hoja si kuwa ameingia lini il ameonyesha uwezo mkubwa anafaa kupewa majukumu ya kuhamasisha wanawake wajiunge na chama pamoja nauifufua bawacha

Halafu kuwa na kadi si uthibitisho wa uaminifu..mtu yeyote anaweza kuwa na kadi..cha muhimu nia tu..watu wengi hawana kadi ila mioyo yao ni cdm..esther ametathmini,akaona cdm ndio suluhisho..anafaa sana..anajiamini,haogopi..anaeleza ukweli hata ukiwa mchungu kwako..
 
Ni kweli mkuu
 
Katika kuelekea uchaguzi wa 2015 kila mmoja ndani ya CHADEMA anatakiwa kuwajibika kwa nafasi yake ndan ya chama kwa pamoja kama kweli 2nahtaj mageuz ya kuundoa mfumo wa utawala wa CCM ulioshindwa.Katika hili uwajibikaji kwa upande wa BAWACHA ni kama haipo na hili ndio kundi ambalo lingeweza kuwaunganisha wakinamama ambao ndio wamekua mara nyingi wapiga wengi kuliko kundi lolote ndan ya jamii.Kunahtajka mabadiliko ya haraka ndan ya BAWACHA la svyo CDM tutaishia kulalamika.ESTER WASSIRA AMEONYESHA WELED WA HALI YA JUU KATIKA KUJENGA HOJA NA MAONO YA MSINGI KWA KIPINDI KIFUPI NDAN YA CDM HVYO ANGEINGIA KATIKA BAWACHA ILI KUWAUNGANISHA WAKINA MAMA KUIUNGA MKONO CDM UONGOZ UZINGATIE NAFAS YA KINA MAMA KATIKA KUCHUKUA DOLA 20I5 NI KUBWA HVYO MKAKAT NI MUHIMU KWA KUNDI HILI KWA MASLAH YA TAIFA NA CDM NAWASILISHA

Bawacha ni ya akina Mama au Wanawake?
 
Yaani kuna mbunge huwa anakaa upande ule wa akina Zitto sijawahi kumuona akiuliza hata swali hata siku moja acha kuchangia, na mimi ni mfuatiliaji sana wa bunge , simjui
hata jina lake huwa sielewi anafanya nini pale bungeni ningekuwa na picha yake ningeiweka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom