Hoja nzuri mzee
UOTE=one activist;4847213]Hebu acheni kukurupuka jamani, nafkiri viongozi wa wa CDM wameshajifunza kwa hili, hivi nani aliyefikiria kwamba John Shibuda angebaki kuwa ni mwana CCM hai wakati akiwa bado ni mwanachama wa CDM kisheria kwa sababu tu ana kadi ya CDM na ndio waliomdhamini yeye kupata ubunge 2010 na baadaye kugeuka kuwa muhujumu wa CDM kiasi cha CDM kujikuta hakina la kumfanya hadi leo? Sisemi kwamba Esther Wassira hafai kupewa nafasi mbalimbali ndani ya CDM, lakini hebu hili vuguvugu la makada wa CCM na wanachama wapya wasio na vyama kuingia CDM lipewe muda na kuangaliwa kwa umakini kwanza, sio kuleta upambe tu wa kishabiki katika wakati huu ambao CDM kinaendelea kuwa ndio chama pekee chenye upinzani wa kweli nchini.....Labda tu kama Magesi una maslahi binafsi na uwepo wa Esther ndani ya BARAZA, lakini vinginevyo umakini unatakiwa.[/QUOTE]