Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,778
- 218,404
Kuanza upya siyo Ujinga - Mrisho MpotoBavicha acheni ujinga
Karibu sana'Mwenyekiti wa Bavicha , ambayo ni Taasisi bora kabisa ya vijana barani Africa'unyama ni mwingi mno
FafanuaNdio maana huwa nasema BAVICHA sio wa kuwaamini na inaonesha kwa tamko lao ni wao ndio wamekurupuka.
Kauli ili
Yaani BAVICHA wanaamini kauli ya makamu wa Rais ni Kama kauli ya Mbowe, kifupi Mashimba Ndaki katafutwa kajaa mkononi mwa wateuajiNdio maana huwa nasema BAVICHA sio wa kuwaamini na inaonesha kwa tamko lao ni wao ndio wamekurupuka.
Kauli ili
Mwamba huyo
tokea lini mteuaji aanze kumtafuta aliyemteua, sijui umekula maharage ya wapi. kwa mfumo wetu raisi aweza kukurupuka tu saa yoyote akasema amemtema waziri flani, aanzaje kumtafuta sasaYaani BAVICHA wanaamini kauli ya makamu wa Rais ni Kama kauli ya Mbowe, kifupi Mashimba Ndaki katafutwa kajaa mkononi mwa wateuaji
Ni rahisi tu kujua , ukiona mdogo anakupinga na unanywea ujue ulikurupukaKipimo gani kimetumika kujua kuwa aliyekurupuka ni Makamu wa Rais na siyo Waziri.
Siasa za upinzani ngumu sana kwa Sababu zimekaa kiharakati mno Sasa kwa busara na hekima za VP Dr.Mpango unategemea kabisa atatumia muda wake kujibishana na waziri? Dkt.Mpango kwa nafasi yake sio busara kujibishana na waziri Kama watoto.Ni rahisi tu kujua , ukiona mdogo anakupinga na unanywea ujue ulikurupuka
Kama Mpango ni mkweli si athibitishe tuSiasa za upinzani ngumu sana kwa Sababu zimekaa kiharakati mno Sasa kwa busara na hekima za VP Dr.Mpango unategemea kabisa atatumia muda wake kujibishana na waziri? Dkt.Mpango kwa nafasi yake sio busara kujibishana na waziri Kama watoto.
Lakini wenye akili tumeshajua anayetafutwa ni waziri wa uvuvi na tunaomjua Mpango sio mtu wa kukurupuka
Kama unawajua sangara tayari majibu unayo!Kama Mpango ni mkweli si athibitishe tu
Huyo pambalu hana akiliMwenyekiti wa Bavicha , ambayo ni Taasisi bora kabisa ya vijana barani Africa , John Pambalu , akizungumza na vijana wenzake huko Geita kwenye vikao vya ndani , bila kumung'unya maneno wala kuona aibu , amemtaka Makamu wa Rais wa Tanzania Mh Philipo Mpango , kujitokeza hadharani na KUOMBA RADHI KUTOKANA NA KUTELEZA KWA ULIMI WAKE NA KUONGEA UONGO KUHUSU MAJI YA MAITI KUTUMIKA KUHIFADHIA SAMAKI wanaovuliwa Ziwa Victoria .
Pambalu amedai kwamba ni muhimu sana kwa Makamu wa Rais kuwapigia magoti wananchi , kwa vile kauli yake ile iliyopingwa na bunge la Tanzania imepunguza ama kuua kabisa soko la Sangara , Sato na dagaa wa Mwanza , huku njia pekee na fupi sana ya kurudisha Soko la samaki hao duniani ni kwa Makamu wa Rais kusimama hadharani na kukiri kwamba alikurupuka .
Wanaliwa nchi nzima ila kansa iko kanda ya ziwa tu ! Maajabu !Kama unawajua sangara tayari majibu unayo!