Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,377
- 217,435
- Thread starter
- #21
Weeee !!!Huyo pambalu hana akili
Weeee !!!Huyo pambalu hana akili
Kama wizara inajua ana mashushu kwa vipi ilimpinga ?Kwahiyo Makamu wa Raisi Hana Mashushushu Waliomwambia Hayo???? Au Yeye ndio alienda Pima Hizo Samaki
Sidhani kama Makamu aliropoka maneno asiyoyajua..
Kwani Dodoma na Dar hakuna kansa?Wanaliwa nchi nzima ila kansa iko kanda ya ziwa tu ! Maajabu !
Wizara imempinga mh Cecilia Pareso mbunge wa ChademaKama wizara inajua ana mashushu kwa vipi ilimpinga ?
Chadema haina wabunge wa viti maalumWizara imempinga mh Cecilia Pareso mbunge wa Chadema
Hayo ni mawazo yako binafsiChadema haina wabunge wa viti maalum
bavicha bwana naona leo mmeshibaMwenyekiti wa Bavicha , ambayo ni Taasisi bora kabisa ya vijana barani Africa , John Pambalu , akizungumza na vijana wenzake huko Geita kwenye vikao vya ndani , bila kumung'unya maneno wala kuona aibu , amemtaka Makamu wa Rais wa Tanzania Mh Philipo Mpango , kujitokeza hadharani na KUOMBA RADHI KUTOKANA NA KUTELEZA KWA ULIMI WAKE NA KUONGEA UONGO KUHUSU MAJI YA MAITI KUTUMIKA KUHIFADHIA SAMAKI wanaovuliwa Ziwa Victoria .
Pambalu amedai kwamba ni muhimu sana kwa Makamu wa Rais kuwapigia magoti wananchi , kwa vile kauli yake ile iliyopingwa na bunge la Tanzania imepunguza ama kuua kabisa soko la Sangara , Sato na dagaa wa Mwanza , huku njia pekee na fupi sana ya kurudisha Soko la samaki hao duniani ni kwa Makamu wa Rais kusimama hadharani na kukiri kwamba alikurupuka .
Shida yenu kubwa ni kuwaogopa viongozi wa juu , hata kama wamekosea , Bavicha hawamung'unyi manenobavicha bwana naona leo mmeshiba
Anapambania biashara, lakini haweki/haelezi/haonyeshi ushahidi kwamba Philipo alisema uongo!Mwenyekiti wa Bavicha , ambayo ni Taasisi bora kabisa ya vijana barani Africa , John Pambalu , akizungumza na vijana wenzake huko Geita kwenye vikao vya ndani , bila kumung'unya maneno wala kuona aibu , amemtaka Makamu wa Rais wa Tanzania Mh Philipo Mpango , kujitokeza hadharani na KUOMBA RADHI KUTOKANA NA KUTELEZA KWA ULIMI WAKE NA KUONGEA UONGO KUHUSU MAJI YA MAITI KUTUMIKA KUHIFADHIA SAMAKI wanaovuliwa Ziwa Victoria .
Pambalu amedai kwamba ni muhimu sana kwa Makamu wa Rais kuwapigia magoti wananchi , kwa vile kauli yake ile iliyopingwa na bunge la Tanzania imepunguza ama kuua kabisa soko la Sangara , Sato na dagaa wa Mwanza , huku njia pekee na fupi sana ya kurudisha Soko la samaki hao duniani ni kwa Makamu wa Rais kusimama hadharani na kukiri kwamba alikurupuka .
Mkuu Erythro, achana na hili. Sioni ni kwa vipi CHADEMA inaweza kupata la maana kutokana na hili. Waachie CCM wenyewe.Wanaliwa nchi nzima ila kansa iko kanda ya ziwa tu ! Maajabu !
Kama Dr Mpango angethibitisha hili utata usingefika bungeni , athibitishe tu sisi tutanyamaza , hatuna ugomvi nayeAnapambania biashara, lakini haweki/haelezi/haonyeshi ushahidi kwamba Philipo alisema uongo!
CHADEMA kuweni waangalifu sana na mambo haya, msiingie kichwa kichwa bila kujuwa undani wa jambo.
Hii siyo siasa; hapa ni uhai wa wananchi wa Tanzania unaohusika.
Huyo mpumbavu pambalu kalipwa!!!Mwenyekiti wa Bavicha , ambayo ni Taasisi bora kabisa ya vijana barani Africa , John Pambalu , akizungumza na vijana wenzake huko Geita kwenye vikao vya ndani , bila kumung'unya maneno wala kuona aibu , amemtaka Makamu wa Rais wa Tanzania Mh Philipo Mpango , kujitokeza hadharani na KUOMBA RADHI KUTOKANA NA KUTELEZA KWA ULIMI WAKE NA KUONGEA UONGO KUHUSU MAJI YA MAITI KUTUMIKA KUHIFADHIA SAMAKI wanaovuliwa Ziwa Victoria .
Pambalu amedai kwamba ni muhimu sana kwa Makamu wa Rais kuwapigia magoti wananchi , kwa vile kauli yake ile iliyopingwa na bunge la Tanzania imepunguza ama kuua kabisa soko la Sangara , Sato na dagaa wa Mwanza , huku njia pekee na fupi sana ya kurudisha Soko la samaki hao duniani ni kwa Makamu wa Rais kusimama hadharani na kukiri kwamba alikurupuka .
Naibu Waziri naye kalipwa ? halafu kwa nchi kama Tanzania , Who is Makamu wa Rais , ikiwa Jiwe tu lilitupiga changa la macho ?Huyo mpumbavu pambalu kalipwa!!!
Makamu wa Rais hawezi ongea kauli kubwa hiyo bure..
Aombe radhi na ajiuzulu kabisa.Mwenyekiti wa Bavicha , ambayo ni Taasisi bora kabisa ya vijana barani Africa , John Pambalu , akizungumza na vijana wenzake huko Geita kwenye vikao vya ndani , bila kumung'unya maneno wala kuona aibu , amemtaka Makamu wa Rais wa Tanzania Mh Philipo Mpango , kujitokeza hadharani na KUOMBA RADHI KUTOKANA NA KUTELEZA KWA ULIMI WAKE NA KUONGEA UONGO KUHUSU MAJI YA MAITI KUTUMIKA KUHIFADHIA SAMAKI wanaovuliwa Ziwa Victoria .
Pambalu amedai kwamba ni muhimu sana kwa Makamu wa Rais kuwapigia magoti wananchi , kwa vile kauli yake ile iliyopingwa na bunge la Tanzania imepunguza ama kuua kabisa soko la Sangara , Sato na dagaa wa Mwanza , huku njia pekee na fupi sana ya kurudisha Soko la samaki hao duniani ni kwa Makamu wa Rais kusimama hadharani na kukiri kwamba alikurupuka .
Umemsikia mfanyabiashara maarufu wa Sangara Dr Msukuma akipinga hili?Kama Dr Mpango angethibitisha hili utata usingefika bungeni , athibitishe tu sisi tutanyamaza , hatuna ugomvi naye