BAVICHA Watikisa Majiji Matatu Tanzania

BAVICHA Watikisa Majiji Matatu Tanzania

attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 
👉✌✌👉👉👉✌✌✌👉
 
kwanini nguvu kubwa ya ujenzi wa chama mnaelekeza kwenye ngome zenu tu? mtu aliyeokoka haitaji kuhubiriwa sana. kwanini hampeleki nguvu kubwa pwani, lindi, mtwara, zanzibar,katavi etc. au hamna cha kuwaambia?

Uwezo wako wa kutafakari ni mdogo sana,
Mh.John Mnyika juzi alizindua kanda ya kusini,yaani Lindi,Mtwara na Pwani,
Kisha Salm Mwalimu atazindua Unguja,na Pemba.

Haitoshi,nenda kaone field ya msingi inavyoendelea Mikoa ya kusini,au unataka tukuoneshe mbinu zetu?, kakae Lumumba ambao wameapa Rais hatatoka kaskazi "

Lakini pia unapoendelea kutoa mapovu,njoo utuambie Kampuni la Mabasi ya Scandinnavia iko wapi? ,unamjua mmiliki?
 
Inatakiwa Dr Wa Ukweli, Mwaka Huu Atuachie Kazi Yeye Afanyage Mipango Na Mikakati Ya Kuingia Ikulu, Maana Tuwekamilika, Tuna Tim Kila Kata, Hizi Ni Tim Zenye Uwezo Wa Hali Ya Juu, Hizi Zinaitwa Tim Za Kampeni Za Nchi Kavu, Hizi, Ni Nyumba Kwa Nyumba Kwa Nyumba, Sebule Kwa Sebule, Mtu Kwa Mtu, Tumeamua Kufanya Siasa Ambazo Hazijawahi Kufanyika Toka Dunia Hii Imeumbwa, Ee Mwenyezi Mungu Tusaidie.
 
Uwezo wako wa kutafakari ni mdogo sana,
Mh.John Mnyika juzi alizindua kanda ya kusini,yaani Lindi,Mtwara na Pwani,
Kisha Salm Mwalimu atazindua Unguja,na Pemba.

Haitoshi,nenda kaone field ya msingi inavyoendelea Mikoa ya kusini,au unataka tukuoneshe mbinu zetu?, kakae Lumumba ambao wameapa Rais hatatoka kaskazi "

Lakini pia unapoendelea kutoa mapovu,njoo utuambie Kampuni la Mabasi ya Scandinnavia iko wapi? ,unamjua mmiliki?
inamaana miakaka yote kulikuwa hamna kanda ya kusini! hata hivyo ni vizuri kwamba mmeanza kubadilika.
 
bRAVO bAVICHA WAZEE WAKICHARIKA KUSHOTO NYIE KULIA, KILA jambo limeratibiwa kisayansi kazeni buti
 
chadema_mkutano.jpg

Wanachama wa Chadema wakiwa kwenye mkutano wa uzinduzi wa mkakati wa ushindi katika Uchaguzi Mkuu. Mkutano huo ulifanyika Dar es Salaam jana . Picha na Said Khamis
 
utafiti huru unaonyesha kwamba mpaka tunaenda mitamboni , BAVICHA ndio taasisi pekee ya vijana inayojulikana na imara zaidi kwenye ukanda wa maziwa makuu .
 
chadema_mkutano.jpg

Wanachama wa Chadema wakiwa kwenye mkutano wa uzinduzi wa mkakati wa ushindi katika Uchaguzi Mkuu. Mkutano huo ulifanyika Dar es Salaam jana . Picha na Said Khamis

eee bhana mkuu sina cha kukulipa kwa wema wako wa kutuwekea hii picha nzuri , uwezo wangu ni kusema asante tu .
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sasa hao si wavuta bangi kabisa hao katika picha hizo nani anafanana na uongozi? Tusifanyane watoto wadogo.

Hatutafuti uongozi tunatafuta kukubalika katika nyancha zote za maisha. Hata huyo uliyemwona kuwa mvuta bangi, sawa tu atukubali, ajiandikishe, akapige kura, achague UKAWA. Mengine, baaaadayeeeeeee tukiwa Magogoniiiiii.
Subiri mwezi Oktoba 2015. Jiwekeni tayari kisaikolojia, kuwa kwenye upinzani na wenzenu ACT wakati gurudumu likiendeshwa KI - UKAWA UKAWA. Amini usiamini hii hali ilivyo mtalia Pooo tu
 
Back
Top Bottom