Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,379
CHADEMA kimekuwa kama teja. kikiona kina arosto kinaenda kwenye strongholds zake kinalalamika na kukashifu na kuridhika kuwa kinajenga chama. nendeni mkajenge chama huko ambako hamna wafuasi.
Kaka imaelekea uko mbali sana na uelewa wa uwiano wa watu na miji, pamoja na ukubwa wa mkoa wa Lindi still haulingani kwa wingi wa watu na mikoa midogo kama Dar au Iringa, so kisiasa Bora uweke nguvu kwenye watu wengi kuliko kupoteza muda Lindi, jaribu kujiuliza kwa nini mikoa kama Arusha, Shinyanga nk imegawanywa na kuzaa mikoa mengine na Lindi pamoja na ukubwa wake bado uko vilevile na wala hauna mpango wa kugawanywa?
so Chadema wanajua wapi kwa kwenda na ndio kilichowasaidia kwenye uchaguzi wa 2010 Kwa Dr Slaa kushinda uchaguzi wa uraisi, japokuwa waliudhulumu ushindi wake