Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Bavicha imekubalika ndani na nje ya nchi
inamaana miakaka yote kulikuwa hamna kanda ya kusini! hata hivyo ni vizuri kwamba mmeanza kubadilika.
Uvccm wamebaki kupiga mdomo wapate chochote kutoka kwawagombea UraisCDM noumaaaaa, pole yao vibaraka wa mafisadi na kimchepuko chao
utafiti huru unaonyesha kwamba mpaka tunaenda mitamboni , BAVICHA ndio taasisi pekee ya vijana inayojulikana na imara zaidi kwenye ukanda wa maziwa makuu .
Ndagha fijoo! ulinamatingoo mwana ugweee!
Safi sana makamanda na mwaka huu ccm hawana pakutokea..
Safi SANA.Utapata CHEO UFIPA Cha UANDISHI WA MAKALA KWENYE GAZETI LA "MAWIO,Mwa.naHALISIOnline amma Tanzania Daima.Ni PM Tufanye mipango.Ngoja Nilonge kidogo na Tumaini Makene Tusababishe.CHEERS!unagegedwa
Hatutaruhusu nchi itawaliwe na makengeza ya nyokaHamna jipya tena kwnye ulimwengu Wa siasa mjipange sababu mshapoteza iman na wananchi cdm
Lugha gani hiyo?
Safi SANA.Utapata CHEO UFIPA Cha UANDISHI WA MAKALA KWENYE GAZETI LA "MAWIO,Mwa.naHALISIOnline amma Tanzania Daima.Ni PM Tufanye mipango.Ngoja Nilonge kidogo na Tumaini Makene Tusababishe.CHEERS!
kinyakyusa kamandaa!
Lugha gani hiyo?
kwanini nguvu kubwa ya ujenzi wa chama mnaelekeza kwenye ngome zenu tu? mtu aliyeokoka haitaji kuhubiriwa sana. kwanini hampeleki nguvu kubwa pwani, lindi, mtwara, zanzibar,katavi etc. au hamna cha kuwaambia?