BAVICHA leo saa 5 kutangaza msimamo wao kuhusu Wabunge 19 wa Viti Maalum

Status
Not open for further replies.
Chadema itakufa kama CCM kwa makosa ya chama sio ya kutengenezwa kama haya.
Mbowe na akina mdee ndiyo wameipeleka chadema ICU kwa njaa zao siyo mnyika na Lisu ambao hawakupokea chochote tokea CCM
 
Dili la uuzaji wanawake viti maalum kitumwa kwa Ndungai ni dili la mbowe na Salum mwalimu bila Lisu wala mnyika, kimbembe ni kesho kwani tayari Halima mdee keshamdharau mnyika na huyo mnyika hatupo tayari kudharauliwa
 
"Chadema familia ya kambale, kila mtu ana sharubu"

Juma Duni Haji
Hilo ni Tatizo kubwa watumwa wa kike waliouzwa kwa Ndungai hawana nidhamu kwa Uongozi kabsa ndiyo maana Halima mdee kaanza kumchafua mnyika kwenye mitandao
 
Hilo ni Tatizo kubwa watumwa wa kike waliouzwa kwa Ndungai hawana nidhamu kwa Uongozi kabsa ndiyo maana Halima mdee kaanza kumchafua mnyika kwenye mitandao
Kasemaje Mdee... Haji Duni alishaangaa sana mfumo wa chadema kila mtu ana maamuzi hakuna hierarchy (muundo wa utawala)

Sent from my SM-J510L using JamiiForums mobile app
 
Kamati tendaji ya Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) usiku wa kuamkia leo imefanya kikao chake cha dharura kilichoongozwa na Mkiti wake John Pambalu.

Leo saa 5 asubuhi kinatarajia kuongea na waandishi wa habari kutoa msimamo wake juu ya kinachoendelea kuhusu wabunge wa Viti Maalumu.

“BAVICHA tumemaliza kikao cha Kamati ya utendaji taifa sasa saa 10:30 usiku. Msimamo wetu tutautangaza kesho saa 11:00 Asubuhi mbele za waandishi wa habari katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama Kinondoni”. - JPambalu.

BAWACHA iko wapi?
 
Hata wao hawakupaswa kuwa kwenye viti maalum kwani tayari wamegombea kwenye majimbo, Halima mdee anaizika chadema kwa njaa zake, ni mara mia wamfukuze kabsa chadema itaheshimika kuliko kubaki nae kisha chadema ifariki ghafra kama CUF ya Lipumba
Chadema ishakufa, halima atakuwa mbunge wa Mahakama atafanya kazi kwa miaka yake mitano then anasepa na maisha yake
 
Wameshituka hawana kikao tena wamegundua kuwa huu ni mchongo wa Salum mwalimu na mbowe ndiyo maana wameuchuna kinya
Ndio maana nilesema haiwezekani watu 19 waende bungeni bila tarifa yoyote halafu serekaili iwaapishe bila kuwa na taatifa kutoka kwenye chama.
Washabiki wa Chadema ni nyumbu haswa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom