BAVICHA kuileta dunia ya vijana Tanzania

mbaya kwa sababu vijana wa kameroon wanakuja kutuharibia vijana wetu hapa nchini

Na wewe maswaswa embu tupe nafasi na sisi tupost aaaahh!!unajaz maupuuzi wako weeeee......(kwa tafsiri ya kwetu MASWASWA maana yake ni MAPUMBA) Sasa usituonyeshe mapumba yako mkuu humu ni nyumbani kwa magreat thinkers!
 
hakuna demokrasia nadani ya chadema unakumbuka zito na mama yake.

Samahani mkuu,hoja si ni mkutano wa kimataifa wa vijana unaoratibiwa na BAVICHA,ya Zito na mamake yanakujaje,mtahangaika sana trip hii. hoja yako ni kama ZUZU,you are running too fast toward the wrong direction.
 
Mswasa,Mswasa,mswasa kweli amepewa kazi ya kujituma,i can see some millage,keep it up,only registred in 2013 lakini umeshawapita waliokuwepo tangu 2009
 
Nzuri hiyooo!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Na wewe maswaswa embu tupe nafasi na sisi tupost aaaahh!!unajaz maupuuzi wako weeeee......(kwa tafsiri ya kwetu MASWASWA maana yake ni MAPUMBA) Sasa usituonyeshe mapumba yako mkuu humu ni nyumbani kwa magreat thinkers!

kila mtu anauhuru wa kupost hata mara mia tatizo la bavicha mnahasira.
 
Samahani mkuu,hoja si ni mkutano wa kimataifa wa vijana unaoratibiwa na BAVICHA,ya Zito na mamake yanakujaje,mtahangaika sana trip hii. hoja yako ni kama ZUZU,you are running too fast toward the wrong direction.

naomba unitue tusichoshane mimi nimemjibu mdau mmoja aliyelileta hilo suaala na wewe umekuja kudandia gari kwa mbele tulia acha kuhema mda bado upo mtaipata tu make kinana kawashika pabaya.
 
umeandika nn sasa, hebu soma tena comment yako. Mm nimesema ntakuja na maziwa mengi ili kuwasaidia mtakaolisha sumu, si unajua dawa ya kumaliza nguvu ya sumu ni maziwa?

Mkuu mbona unahangaika sana, Kwan tatizo lipo wapi?
 
Conservative ya Uingereza, c ndiyo wale mashoga? Mnapiga kelele ccm inajaza watu wa out, hv nyie chadema mkichukua si haya majitu yoooote mtayapa mali zetu! Mtabaki kuwa wapinzani hata mngeita dunia yote´Tz.
 
naomba unitue tusichoshane mimi nimemjibu mdau mmoja aliyelileta hilo suaala na wewe umekuja kudandia gari kwa mbele tulia acha kuhema mda bado upo mtaipata tu make kinana kawashika pabaya.

Nimekutua mkuu,we bebana na kinana mtafika,mmebakisha kidogo tu,nakuhusu meno ya tembo mtatuambia tu.
 
umeandika nn sasa, hebu soma tena comment yako. Mm nimesema ntakuja na maziwa mengi ili kuwasaidia mtakaolisha sumu, si unajua dawa ya kumaliza nguvu ya sumu ni maziwa?
Umekwishafanikiwa kuwalisha maziwa Mwakyembe, A. L. Mrema na Prof. Mwandosya?
 
Mswasa,Mswasa,mswasa kweli amepewa kazi ya kujituma,i can see some millage,keep it up,only registred in 2013 lakini umeshawapita waliokuwepo tangu 2009

hoja yako ni dhaifu unless anachopost hakijengi..lets not criticise people, criticise ideas.
 
IYDU ni combination ya washirika wa aina mbili; conservative na Christian Democrat.

Where is the difference? I stand to be enlightened lakini naweza kusema kuwa IYDU inafungamana na vyama vyenye mlengo wa christian democracy.

Sijui kama ni vyema kwa CHADEMA kuji associate na vyama vyenye malengo ya kidini. Hii si huenda ikawa inafanana na ile hoja ya uliberali kwa CUF.

Source: IYDU declaration of principles

Enlighten me lakini CHADEMA kuweni makini.
 
IYDU ni combination ya washirika wa aina mbili; conservative na Christian Democrat.Where is the difference? I stand to be enlightened lakini naweza kusema kuwa IYDU inafungamana na vyama vyenye mlengo wa christian democracy.Sijui kama ni vyema kwa CHADEMA kuji associate na vyama vyenye malengo ya kidini. Hii si huenda ikawa inafanana na ile hoja ya uliberali kwa CUF.Source: IYDU declaration of principlesEnlighten me lakini CHADEMA kuweni makini.
I thought you are a part of chadema system so why with this indifferences support your fellow party youth for the better
 
IYDU ni combination ya washirika wa aina mbili; conservative na Christian Democrat.

Where is the difference? I stand to be enlightened lakini naweza kusema kuwa IYDU inafungamana na vyama vyenye mlengo wa christian democracy.

Sijui kama ni vyema kwa CHADEMA kuji associate na vyama vyenye malengo ya kidini. Hii si huenda ikawa inafanana na ile hoja ya uliberali kwa CUF.

Source: IYDU declaration of principles

Enlighten me lakini CHADEMA kuweni makini.

Nilidahni utaisoma kwa makini hii familia ya vyama vya mlengo wa kati ukaielewa vizuri pamoaja na hizo principle zake. Nadhani kaa na usome tena. Ukristo sio malengo yake ila free market econmy, Democracy and private property without interfering with common interests of the wananchi. Uwe chama cha kiislamu lakini kinasimamia hapo poa tu. Uwe chama cha kikristu lakini unasimamia democracy, free market na private property, sawa tu . Uwe huna misingi ya dini na unaamini kwenye hiyo misingi , twende kazi. Sasa sijui wewe umetoka wapi hapa?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom