BAVICHA kuileta dunia ya vijana Tanzania

kila mtu anauhuru wa kupost hata mara mia tatizo la bavicha mnahasira.

BAVICHA mbona hawana hasira kaka. Watoto wa Lumumba ndio wenye hasira ya kuotoa mapovu kama chatu humu mitandaoni hasa wanapopigwa bao na vijana wenzao kama BAVICHA
 
Vyama vya demokrasia vyoote duniani ni vyama vya kidini na vyama vinavyotetea ushoga dunia nzima,wabaguzi sana wakabila na ht wengine ni viongozi wa mashoga na wasagaji.

Chanzo ni gazeti la the daily issues la hispania

kama kile cha ujerumani cha kijamaa ambacho ni rafiki na ccm kiongozi wake amejitangaza kuwa nishoga
 
CHADEMA hakuna kitu wanatumiwa na mabepari kuharibu nchi yetu tuliyoitoa mbali hawa mafisi wanataka ulaji tu.....na kuharibu amani,na kama rasimu ya katiba mpya ikipita hawatapata jimbo hata moja

"KIDUMU CHAMA TAWALA"
 
Habari zilizoanza kusambaa duniani jan usiku zinaonyesha kuwa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) watakuwa wenyeji wa mkutano wa bodi ya umoja wa vijana wa vyama vya kidemokrasia Duniani (Internationa Young Democrat Union, IYDU) mwezi July.

Taarifa hizo zinaeleza kuwa hii itakuwa mara ya kwanza kwa umoja huo unaoshirikisha nchi zaidi ya 120 ikiwemo BAVICHA kufanya mkutano wake Kusini mwa Jangwa la Sahara na Tanzania chini ya BAVICHA kuwa kichocheo cha kuleta mkutano huo nchini.

IYDU inahusiasha vijana wa vyama vikubwa duniani kama Republican ya Marekani, Consevrative ya Uingereza, CDU ya Ujerumani, kile Chama cha Sarkozi cha Ufaransa. Nchi nyingine zinazoonekana kwenye umoja huo ni Hispania, Denmark, Uswis, Italy, Austarlia Argentina, Ucraine, Ugiriki n.k na kwa africa zinaonekana Ghana, Kenya, Uganda, Namibia, Msumbiji, Tanzania n.k

Kwa hakika hii ni kazi nzuri ya John Heche kama Mwenyekiti wa BAVICHA na Deogratias Munishi kama Katibu Mkuu wa BAVICHA ambao wamejenga hoja na mazingira ya vijana hawa kuwa hapa Tanzania. Huu ni ufanisi wa hali ya juu kwa siasa za kimataifa zinazofanywa na BAVICHA ukiacha zile za ndani ambapo kwa kwa kiasi kikubwa wamevunja unazi wa vijana wa chama cha kijamaa kutawala ulimwengu wa siasa za Vijana Tanzania.

Welldone BAVICHA, Bravoo CHADEMA kwa kuwa na Vijana Mahiri kama Heche na Munishi.

Source http://www.facebook.com/photo.php?f...16863021.33668.162705093775220&type=1&theater

Hii ni habari njema. Vijana wameiva kuliko hata vijana wa magamba wenye miaka zaidi ya 50 ya uwepo wao, zaidi wakiwa na serikali. Hongereni BAVICHA
 
CHADEMA hakuna kitu wanatumiwa na mabepari kuharibu nchi yetu tuliyoitoa mbali hawa mafisi wanataka ulaji tu.....na kuharibu amani,na kama rasimu ya katiba mpya ikipita hawatapata jimbo hata moja

"KIDUMU CHAMA TAWALA"

Kwa kuwa mnatumiwa na wajamaa wenzenu kuharibu nch, basi unadhani na wenzako ndivyo wanavyotumiwa. Jana kinana alikuwa anafanya nini na wachina? Acha ushamba wewe!
 
Conservative ya Uingereza, c ndiyo wale mashoga? Mnapiga kelele ccm inajaza watu wa out, hv nyie chadema mkichukua si haya majitu yoooote mtayapa mali zetu! Mtabaki kuwa wapinzani hata mngeita dunia yote´Tz.

Ndo za kishoga hata Labour party masahiba wa CCM wanaunga mkono, kwa hiyo kwa akili yako basi hata CCM wanaunga mkono Ushoga. Democarts Marekani waziwazi kupitia Obama kwenyeb kampeni za mwaka jana aliunga mkono ndoa jinsia moja na hawa ni maswahiba wa CCM hivyo basi kwa akili yako mbovu hata CCM wanaunga mkono ushoga. Nyie watoto wa Lumumba mna matatizo ya kufikiri sana!
 
Ukihangaika na hawa vilaza wa Lumumba utakuwa unapoteza muda wako bure. Hawajui siasa za dunia zinakwendaje. Hawajui kuwa kwenye familia za kiitikadi duniani hakumaanishi chama husika kitakuwa kinakubaliana na kila kitu kwenye familia hiyo.
 
kwa kuwa mnatumiwa na wajamaa wenzenu kuharibu nch, basi unadhani na wenzako ndivyo wanavyotumiwa. Jana kinana alikuwa anafanya nini na wachina? Acha ushamba wewe!

kweli wewe hujielewi na hiyo chadema yako mtakufa kibudu 2014/2015 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu
 
kweli wewe hujielewi na hiyo chadema yako mtakufa kibudu 2014/2015 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu

Tatizo la matoto ya Lumumba ni moja tu! Kufikiri kwa kutumia ma------ basi. Povu linawatokaaaaa bila hata break
 
Hii inaonyesha ni jinsi gani umoja wa Vijana CHADEMA ulivyo makini tofauti na wenzao UVCCM ambao kutwa nzima ni majungu na kupandikiza udini miongoni mwetu

Nakuunga mkono Mohamed Hussein. Vijana wa BAVICHA ni majembe kupindukia tofauti na babu shighela na mwarabu Sadifa aliyebaki kutumia ofisi kutongozea mademu.
 
kweli wewe hujielewi na hiyo chadema yako mtakufa kibudu 2014/2015 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu

Ila wewe mizengo pinda kabisa! hata wakubwa zako wanaujua mziki wa chadema, wanahaha ww unajifarij
 
CHADEMA hakuna kitu wanatumiwa na mabepari kuharibu nchi yetu tuliyoitoa mbali hawa mafisi wanataka ulaji tu.....na kuharibu amani,na kama rasimu ya katiba mpya ikipita hawatapata jimbo hata moja

"KIDUMU CHAMA TAWALA"

mpupavu wewe.
 
Hii inausiana nini na habari? Tanzania tuna wemndo mrefu sana, sasa wewe tunakukomboa vipi? maana hatuwezi kuingia ndani ya kichwa chako ili kuondoa ujina

Huyo ni kumuacha awe Kenge katika msafara wa mamba.
 
jambo hilo si geni hapa nchini,Tanu youth league na baadaye Uvccm INA HISTORIA NDEFU SANA katika kuwaleta pamoja na kukutana na vijana mbalimbali wa ulaya,amerika,asia nk
 
Chama cha Demokrasia na maendeleo kupitaia Baraza la vijana (BAVICHA ) kimepata nafasi ya kuwa mwenyeji wa kuandaa mkutano wa Bodi ya Umoja wa Vyama vya Demokrasia Duniani -International Young Democratic Union (IYDU) utakaofanyika Dar es salaam Coral Beach kuanzia 25-30 july.
Watoa mada : Mabere Marando ,Jaji Thomas Mihayo, Wakili Francis Stolla, John Mnyika, Generali Ulimwengu na wengineo.

Mataifa washiriki
:Ujerumani, Hispania, Mraekani, Italia, Ugiriki, Romania , Lebanoni, Georgia, Burgaria, Australia, Nepal, Ureno, Taiwani, Denmark, Togo, Kenya, Uganda, Ivory coast, Namibia na Tanzania.

NB
:Nyote mnakaribishwa katika kuchangia mada za kidemokrasia na kuleta maendeleo , bila kusahau umoja wa vijana magamba.
 
Back
Top Bottom