BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 6,182
- 11,782
Wasalaam.Mimi kama mdau wa Elimu najiuliza na nina kiu kujua kwamba ni chuo kipi bora hapo.
Najua vipo vyuo vikuu bora vingi katika nchi hizi na barani Africa
Ila kwa leo tuangalie ubora wa Taaluma na wataalamu wanaopikwa katika vyuo hivi vya Nairobi na Dar es Salaam.
Pia tutaangalia miundombinu bora na inayozingatia sayansi na technologia na kusapoti walemavu pia.
Karibuni sana wadau.