Tukiamua kujibu tunaweza na tukiamua kukaa kimya tunaweza vile vile. Kupanga ni kuchagua
Miradi ya kutafutiza Kwa tochi 😁😁Tukiamua kujibu tunaweza na tukiamua kukaa kimya tunaweza vile vile. Kupanga ni kuchagua
Tulia hivyo hivyoRender 😁😁
View attachment 2851474
Vibe la kibabe, na hii ndo maana halisi ya Jiji.
Hii ndo HQ?