ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,940
- 89,158
Chuga
OkeyHuko Kasi zimeanza,ilikuwepo phase one pamoja na Barabara.Mimi Mkoa niliko ujenzi unaendelea
Waliosema Mwanza haijengwi na Serikali wale tuwaone 😁😁
View: https://twitter.com/tanzaniairports/status/1754500130584014935?t=2Py8wHHiBu5FlkiVZUTB5g&s=19
Fact is Mwanza imeizidi Arusha kwa vitu vingi, hata population ya Mwanza ni kubwa kuliko ya Arusha.
Wanaishia uswazi kwenye mabanda ya nguruwe kule milimani 😆😆Arusha ina maghorofa elf7 na Mwanza elfu 2 je watu wa Mwanza wanaishi wapi?
Zile zama za Mwanza kulingia stand zimeisha.
Hahaaaha wakae watulie sasa wasifananishe chuga na mawe yao yale ya mijusi kafiri