Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Leta figure, facts na data sio hizi porojo, hata kama wanaacha shule wameona shule hazina maslahi we huwaoni wakina kishimba na msukuma ni darasa la saba je unalingana nao wewe kajamba nani.
Inamaana hizo facts hapo za dropouts Juu sio Wasukuma ni kina nani? 🤣🤣🤣
 
Wakuu hakuna battle hapa naona tunaionea Mwanza Bure, haiwezekani inazidiwa na Arusha Kwa Kila kitu 😁😁😁

Ona hapa Sasa kwenye umeme ni aibu,Size ya Mwanza ni Mbeya wote wako bottom 5 😂😂

View: https://twitter.com/TheChanzo/status/1705188838203658494?t=s05hZQxeyzgwLXyPxkZS1A&s=19

Hayo matumiz makubwa ya umeme yatatoka wapi wakati Mwanza unapata umeme kwa masaa hivyo viwanda vya mwanza vitatumia umeme gani kila siku umeme hamna toka mwaka 2021.
 
Hayo matumiz makubwa ya umeme yatatoka wapi wakati Mwanza unapata umeme kwa masaa hivyo viwanda vya mwanza vitatumia umeme gani kila siku umeme hamna toka mwaka 2021.
Wapi ambako umeme uko full hauko Kwa masaa? Acha visingizio wewe.

Hivi Bado GGM hajaunganishwa na grid ya Taifa? Mbona kama Geita Hakuna kitu?
 
Subirieni kitu matata

View: https://www.instagram.com/p/CxmmCM0MVI0/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
20230923_162037.jpg
 
Kwann nihangaike na Takwimu uchwara ambazo zinafanywa kufrahisha kikundi flani cha watu, umewah fika UDOM? Pale wanafunz wengi ni Wasukuma, nenda CBE
Sizitaki mbichi hizi when they are against your favor 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom