Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Baada ya kurudi jijini nilienda kwanza Capri point kupungwa upepo 😀😀
20230802_164314.jpg
 
Uwanja wa mwanza uko bize muda wote boss, pia ukweli Arusha wanatmia uwanja wa KIA nao hauko bize ila mkubwa Kwa ajili ya events TU lakin now mwanza tena unapanuliwa ndege zote afrika mashariki zitatua mwanza maana ni karibu,

Mwanza pia Kuna hifadhi ya wanyama ipo ndan ya Jiji inaitwa SANANE ISLAND NATIONAL PARK nazan Tanzania ndo mwanza ni Jiji pekee kuwa na mbuga ya wanyama mjini
Hauhitaji kubishiwa unahitaji kuelimishwa kwamba kilimanjaro airport ni kwa ajili ya matukio tu jokes 🤣 😆 nyie ndio wale mnafatilia nchi kwa habari za online....uwanja wa kia pekee unaingiza wageni mara 3 zaidi ya uwanja wa mwanza and it's only 40 kilometres from arusha na bado uwanja wetu mdogo wa arusha nyie ndio mnakimbizana nao huku eti😄
Screenshot_20230803-111226_Chrome.jpg
Screenshot_20230803-111226_Chrome.jpg
Screenshot_20230803-111200_Chrome.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20230803-111131_Chrome.jpg
    Screenshot_20230803-111131_Chrome.jpg
    131.8 KB · Views: 7
Hauhitaji kubishiwa unahitaji kuelimishwa kwamba kilimanjaro airport ni kwa ajili ya matukio tu jokes 🤣 😆 nyie ndio wale mnafatilia nchi kwa habari za online....uwanja wa kia pekee unaingiza wageni mara 3 zaidi ya uwanja wa mwanza and it's only 40 kilometres from arusha na bado uwanja wetu mdogo wa arusha nyie ndio mnakimbizana nao huku eti😄View attachment 2707118View attachment 2707118View attachment 2707119
Sasa Mwanza inaingiza abiria karibia nusu ya abiria wanaotumia KIA na hapo haina international flight! Kwa kifupi Mwanza ingekuwa na Internationala flight msingepishana nayo sana kwa abiria!
 
Sasa Mwanza inaingiza abiria karibia nusu ya abiria wanaotumia KIA na hapo haina international flight! Kwa kifupi Mwanza ingekuwa na Internationala flight msingepishana nayo sana kwa abiria!
Upo sahihi na itasaidia sana watumiaji wengine wa nchi jirani na mikoa yote ya kanda ya ziwa hasa na hata kuongeza soko la nje la samaki nilichotaka ni kumpa elimu ndugu yangu kuwa kia sio kwa matukio muhimu pekee
 
Sasa Mwanza inaingiza abiria karibia nusu ya abiria wanaotumia KIA na hapo haina international flight! Kwa kifupi Mwanza ingekuwa na Internationala flight msingepishana nayo sana kwa abiria!
Sasa unadhan Hadi ujengwe na KIA itakuwa imelala?! Ujue pia KIA na uwanja wa Ndege wa Arusha ipo kwenye matengenezo na wamepewa wawekezaji kutoka Oman watengeneze...Cha kuijuliza kama uwanja wa Ndege wa Mwanza ungekuwa na potential kwanini wawekezaji wasije huko?
 
Ni serkali tu haijaamua ushajiuliza kwa nini kwa local flight customers ni wengi Mwanza inaizidi hadi KIA! Mwanza ni potential kwa kila kitu sema tu serkali zetu hizi hazijui kutumia fursa!
 
Ni serkali tu haijaamua ushajiuliza kwa nini kwa local flight customers ni wengi Mwanza inaizidi hadi KIA! Mwanza ni potential kwa kila kitu sema tu serkali zetu hizi hazijui kutumia fursa!
Local flights za kutoka Mwanza kwenda wapi ? Local flights kutoka Mwanza kwenda dar ,au kutoka dar kwenda Mwanza lazima ziwe nyingi kutokana na umbali hapo nadhan tumelewana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom