Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

We jamaa nakukubaligi hapo tu dom vs arusha upo upande wa dom ikija arusha vs mwanza upo upande wa arusha 😀😀😀
Kumbe na wewe unashangaa unafiki wa jamaa, basi shangaa na hii👇👇
Screenshot_20230519-105857_1684483191924.jpg
Screenshot_20230416-165656_1681653455881.jpg
 
We jamaa nakukubaligi hapo tu dom vs arusha upo upande wa dom ikija arusha vs mwanza upo upande wa arusha 😀😀😀
Arusha imekojolea ndani ya Mwanza in terms of Investments projects both in numbers and Value.

Tuliwaambia hiyo fishing town ya Mwanza ni gulio la maskini wawe wanaelewa 🤪🤪
Screenshot_20230727-133812.jpg
 
Back
Top Bottom