Mwanza mumekumbukwa na kabarabara kamoja 😂😂👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C7jHOfHKBS6/?igsh=enhueHF4N3ZyNml6
37km chache sana hizo
Mwanza mumekumbukwa na kabarabara kamoja 😂😂👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C7jHOfHKBS6/?igsh=enhueHF4N3ZyNml6
Na hizo kilometa 37 hawajengi zote wataanza na 22km, ni balaa.37km chache sana hizo
Nyingi sana hiko mkuu tunawapa hongera 👏Na hizo kilometa 37 hawajengi zote wataanza na 22km, ni balaa.
Afu kweli Mkuu ,ona hapa 👇Wanakumbukwaga kila siku mbona ila wanatabia yakulalamika
Hii inaonyesha umaskini wa watu wa mwanza
Mkoa wa Pili kwa idadi ya watu
Mkoa wenye watu mara mbili idadi ya wa Arusha
Lakini bado kwenye idadi ya vingamuzi mnapigwa chini
Ni kusema nyie hamna TV au🤣
Heko kwa wanangu wa Mbeya mnaonyesha nguvu yenu ya kiuchumi
Thumbs up! Kwa chuga nyie tunajuaga siku zote Arusha ni Dunia
View: https://x.com/TheChanzo/status/1762892343714144753
Arusha hakuna hata mradi mmja mkubwa wa maana ,km 22 Hadi usagara junction ni nyingi sana na automatically lazima watazimaliza Hadi darajani.Na hizo kilometa 37 hawajengi zote wataanza na 22km, ni balaa.
Sasa Ulalamishi wenu wa kutengwa unatokana na nini labda?Kwamba hujui kuwa hii ni tactics ambayo Kila jiji wanapata
Hii inaonyesha umaskini wa watu wa mwanza
Mkoa wa Pili kwa idadi ya watu
Mkoa wenye watu mara mbili idadi ya wa Arusha
Lakini bado kwenye idadi ya vingamuzi mnapigwa chini
Ni kusema nyie hamna TV au🤣
Heko kwa wanangu wa Mbeya mnaonyesha nguvu yenu ya kiuchumi
Thumbs up! Kwa chuga nyie tunajuaga siku zote Arusha ni Dunia
View: https://x.com/TheChanzo/status/1762892343714144753
Sasa Ulalamishi wenu wa kutengwa unatokana na nini labda?
Yaani mnashangaza sana
View: https://www.instagram.com/p/C7nnojHNwcS/?igsh=MTQzbDg2cGhmOTBleA==
View: https://www.instagram.com/p/C7nnFrKteHk/?igsh=MzhobWQxMHUzejk3
Unachobisha ni nini hasa? Hiyo ni indicator kubwa sana ya Uchumi wa individual level,unajitoa ufahamu?Na wew ndio unajiona umechambua uchumi wa miji...aliyekuambia idadi ya ving'amuzi ndo kipimo Cha uchumi nani ...mbona hujazingatia ceterius peribus kama cable na satellite dish?
Unachobisha ni nini hasa? Hiyo ni indicator kubwa sana ya Uchumi wa individual level,unajitoa ufahamu?
Mbeya ni tofauti sana na hiyo Mikoa yenu ya kisengerema,angalia distribution ya income kwenye Wilaya zake 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C7izP36NS-h/?igsh=c2s4bmlmbzRkY2pu
Kuna siku binadamu amewahi kufurahia kulipa Kodi au tozo? Ushuru lazima utozwd yaani usitozwe Kwa kuwa wewe ni nani?Unachekesha ...mbarali ambako wakulima wanalalamika kutozwa ushuru na tozo kwenye mazao Yao ushuru mwingi mpaka serikali imeingilia kati .na ndio mapato Yao 😃😃
huwezi nidaganya kuhusu mapato ya halmashauri.....tozo zilizopitiliza kwenye magunia ya mpunga yasiyofikia tani Moja ni wizi uliopitiliza .. asilimia 80 ya mapato ya mbarali ni unyonyaji wa wakulimaKuna siku binadamu amewahi kufurahia kulipa Kodi au tozo? Ushuru lazima utozwd yaani usitozwe Kwa kuwa wewe ni nani?
Mwisho ushuru mwingi ndio kiasi gani? 😁😁😁😁
Kwako Mapato ni nini tofauti na tozo? 😁😁😁😁huwezi nidaganya kuhusu mapato ya halmashauri.....tozo zilizopitiliza kwenye magunia ya mpunga yasiyofikia tani Moja ni wizi uliopitiliza .. asilimia 80 ya mapato ya mbarali ni unyonyaji wa wakulima
We unadhani kukamilika Kwa mgodi wa nyanzaga 2025 .. sengerema mtaikamatia wapi kwenye mapatoKwako Mapato ni nini tofauti na tozo? 😁😁😁😁
Mapato ya Wilaya za kisengerema za Mwanza Yako wapi? 🤣🤣
Kuka .....unawaza upuuzi ule ule unaothibitisha ufukara wenu.😁😁😁We unadhani kukamilika Kwa mgodi wa nyanzaga 2025 .. sengerema mtaikamatia wapi kwenye mapato
Ukifunguliwa ban nitag nije nikujibuKuka .....unawaza upuuzi ule ule unaothibitisha ufukara wenu.😁😁😁
Mgodi wa mzungu wewe muuza mkaa utakusaidia nini? Hata fidia hawajaanza Toka 2021 ni porojo Hadi kesho.Kwanza unajua kinachoendelea kwenye huo mgodi au unaropoka kijinga tuu hapa?
Mwisho onyesha Mapato ya Halmashauri zenu hapa nicheke