Wanawasaidia kaka bila kuwapelekea vikao na kuwajengea Taasisi nyingi za Serikali we unafikili uchumi wao utasisimuliwa na nini, ukilinganisha na Mwanza maana utalii ni wa Mzungu wakati Mwanza Wavuvi kila baada ya week tatu Wantegeluka wanajibebea maokoto, wale wakuvua Samaki kila it iitwapo asubuhi wanakusanya zao maokoto na hii sio anzia Visiwani mpaka Mijini, Fukwe za Kigongo,Mwasonge, Sweya,Mwalo wa Mswahili, Kamanga,Kirumba Mwaloni, Sabasaba, Igombe, Kabangaja, Sangabuye, Kayenze nenda mpaka Nyanguge huko watu wanapiga maokoto hapo bado secta zingine wakituletea na Utalii na Vikao tutawabaka hao wanachuga acheni tu serikali iwasaidie