Battle: Magufulians vs Anti-Magufuli

Battle: Magufulians vs Anti-Magufuli

Ingekuwa kala trillion 1 hata lissu ndo ingekiwa agenda yake

bwana mdogo kunywa maji upunguze wenge inaonekana wewe Bado ni ngumbalu,zile fedha alizosema CAG Asad hazionekani na jiwe akakataa jamaa kuendelea kufanya uchunguzi Kwa kumuundia zengwe la kumstaafisha wakiongozwa na Kimbunga Jobo zilitumikaje?
Acha kutetea ujinga Huyo unayemwona innocent Kwako alikua Mwizi Kama wezi wengine ila alijificha kwa kivuli Cha Uzalendo uchwara
Haya Ile miradi ya mwendokasi iliyojengwa Chato iliidhinishwa na bunge Gani?
Ilikaguliwa na CAG Gani?

Kwanini walificha ripoti ya Ile miradi?
Unaijua Mayanga Construction ambayo ilichukua tenda ya kujenga Chato international airport ilichukua zabuni kimagumashi wakati sheria inatakiwa tenda kitangazwa na kampuni itakayoshinda Zabuni ndio ipewe mradi
Ilikuaje ikafanya kazi kinyume Cha sheria Kama sio ulikua wizi wa mchana kweupe na order kutoka Kwa jiwe?

Kiufupi mtu wenu alikua mjanja mjanja tu Kama wajanja wengine!
 
Acha ukilaza,,aliingia akakuta empty wakati siganory wa pesa na misamaha ni waziri wa fedha amabye kwa sasa ndo makamu wake wa Rais.Trillion uibe harafu unaiweka nch ipi?IMF na worldbank na us watakuangalia tu..Escrow tu ilipelekea misaada kusimama sembuse trillion nzima..sipenda watu wasiochanganua mambo.Kama kaziiba na sasa hivi hayupo kwanini hawazichukui na kuzirudishq hazina..eti wizi wa trillion..upuuzi kabis

wewe acha wenge nitoe ushahidi Mimi nimekua CAG
Simlimchimba mikwara
Prof Assad asitoe ripoti ya upotevu wa matrillion ya Pesa Kupotea kimagumashi?
Mlimziba mdomo Kwa kumstaafisha Kwa lazima Ili asigundue janja yenu ya nyani
Miradi mingi iliyoenda Chato haikupitishwa na bunge
Ila Kwa ujanja ujanja wa jiwe,

Haya mlivyo zero brain mkajitangazia uchumi umepaaa
Tupo uchumi wa kati tutembee vifua mbereeee
Leo Kiko wapi?
Mlizoea propaganda uchwara kuliko uhalisia wakati hazina hamna kitu matokeo yake
Leo inabidi tukamuliwe Kodi na tozo za ajabu ajabu kuziba pengo kisa mtu mmoja Aliyekua anapenda sifa na propaganda za kijinga kutoka Kwa nyumbu Kama nyie
Madame President Samia
Aliingia hazina akakuta empty
Ikampasa auseme ukweli tu kwamba hali Mbaya kiuchumi

Ila Nduli alikua anajua kucheza na akili za nyumbu Kama nyie
😁😁😁😁😁
 
Sidhani kama IMF wanapokea maagizo kutoka serikali yoyote ile, ikiwemo Tanzania.

Hiyo ni taasisi inayojitegemea haswa. Hawawezi kutoa taarifa ambazo hawajazi-verify.

Hizi unazojaribu kutuambia hapa ni stori tu za vijiweni.
zile takwamu za uchumi wa kati nani alizitangaza Kwa mbembwe?
 
zile takwamu za uchumi wa kati nani alizitangaza Kwa mbembwe?
World Bank
Screenshot_20210923-190946_Chrome.jpg
 
Acha ukilaza,,aliingia akakuta empty wakati siganory wa pesa na misamaha ni waziri wa fedha amabye kwa sasa ndo makamu wake wa Rais.Trillion uibe harafu unaiweka nch ipi?IMF na worldbank na us watakuangalia tu..Escrow tu ilipelekea misaada kusimama sembuse trillion nzima..sipenda watu wasiochanganua mambo.Kama kaziiba na sasa hivi hayupo kwanini hawazichukui na kuzirudishq hazina..eti wizi wa trillion..upuuzi kabis
mzigo ule ndio uliojenga miradi ya Kijiji Cha Chattle hivyo inahesabika kama pesa za wizi sababu haikuidhinishwa na bunge Wala kukaguliwa na CAG
 
'Anapendwa' na uneducated class because they can't see past his propaganda and cooked statistics.

Ukweli ni kwamba ndani ya miaka 6 ya uongozi wake, GDP per capita imeongezeka by 30 USD, wakati chini ya miaka 10 ya Kikwete iliongezeka by 500+ USD.
Vipi statistics za sasa tuna mabilionea wangapi ndani ya miezi sita ya Rais mpya?

Ukinijibu nitafurahi sana!!
 
Kwahiyo hawataki hata mema ya nchi kisa tu zilitangazwa kipindi cha Magufuli!!??

Wallahi hawa watu wanachuki hakiyamama.
Mema ya nchi wapi nyie vigeu geu hao waliowapa Hizo takwimu si ndio mliwaita mabeberu iwaje Tena mkaamini takwimu zao?
Ile ya uchumi wa kati ilikua kejeri Kama kejeri nyingine na nyie mkaingia mkenge kushangilia takwimu hewa!

Haaahaahahah MATAGA pori mna vioja sana!
 
Hehehehee hivi ndivyo mlivyo, hamjawahi kujibu kwa hoja zaidi ya kujibu kitoto, nimeuliza kwamba WB waongo!!? Badala ya kujibu unaruka ruka, kama hutaki Tz iko uchumi wa kati je unataka kufananisha Tz ya sasa na Tz ipi hebu nijibu.
 
  • Thanks
Reactions: nao
haya tufanye walikua wakweli huo uchumi wa kati unao apply kwenye makaratasi bila uhalisia mbana hatuuoni Ina maana umeporomoka ghafla baada ya mwendazake kwenda na upepo?
Tangu lini uchumi ukaonekana? Haya niambie huo uchumi una rangi gn.
 
Hehehehee hivi ndivyo mlivyo, hamjawahi kujibu kwa hoja zaidi ya kujibu kitoto, nimeuliza kwamba WB waongo!!? Badala ya kujibu unaruka ruka, kama hutaki Tz iko uchumi wa kati je unataka kufananisha Tz ya sasa na Tz ipi hebu nijibu.
kwahiyo hapo wewe umejibu kikubwa au sio
Aiseee kwahiyo wewe Kwa akili zako timamu kabisa ukaamini Tanzania chini ya jiwe imepaaa kiuchumi kuliko awamu yoyote Ile?
Ama kweli haya ni maajabu ya Karne!
 
mfateni makaburini huko mwehu yule

mnajua kabisa no one likes him at all...mnapiga madomo tu hapa

aliekua anawapa ugali kafa na ugali....sasa hivi njaa mpaka matakoni..muulizeni bashite
HIVI KWANINI MLIVYOLUWA MANAIBA BILA KUNAWA,,BAADA YA KUGUSWA BASI MMEKUWA NA CHUKI SANA..MIMI NINGEKUWA NAKUFAHAMU HATA LEO NINGEKUPIGA SHABA KWA UPUMBQVU WAKO HUU
 
Back
Top Bottom