Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

 
barabara nying za kenya hazina pedestrian walkways, kama zipo bas haziwekwi vizur.. hawana priority na hizo walkways! najua wapo watabisha ila huu ndo ukweli
Post yenye haina hapa tuone
 
yetu neno HAPA KAZI TU lazima lionekane [emoji23]..
i wish ichorwe michoro kama Mt. Kilimanjaro and other few pics of animals πŸ€·πŸΎβ€β™‚οΈ
Mimi nasubiri bunge liishe nisikie phase 3 zilizobaki tenda zikitangazwaπŸ˜‚.
IMF wanasema there is no indication tanzania will slow down kwenye miradi mikubwa kutokana na covid19.
 
Mimi nasubiri bunge liishe nisikie phase 3 zilizobaki tenda zikitangazwaπŸ˜‚.
IMF wanasema there is no indication tanzania will slow down kwenye miradi mikubwa kutokana na covid19.
Majirani wanabisha wanadai hatuwezi kuendelea na ujenzi wakati wa coronavirus! πŸ˜‚
 
am talking about kibera with a population of 2.5m people πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡



and that is only kibera vp slums zingine wanaishi nguruwe sio watuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡
 
Hii ni city si uswazi, kazi yake ili ikamilike will take couple of years,,hii itakamilika 30years to come, utasubri hadi uzeeke
kama project ina over 10 yrs hazikuchomoka basi musubiri yesu ashuke azichomoeπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…