Uko sahihi,ivyo vifaa na hao watoa huduma lazima wafanyie kazi zao kwenye jengo lenye hadhi...utajizungusha sana lakini hutaweza kukubaliGeza hospitali si mjengo ni huduma na vifaa sijui utatolewa lini huu ushamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Last time kenya imeajiri lini wataalamu a afya au huko wako wengi sana kwenye system[emoji5][emoji5]....Hongera sana GoT kwa kutoa ajira kwa vijana[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
I can confirm that construction has started.leta contsrution ya double deker uliosema hapa kwanza kabla hujaruka kwenda kwengine 😂😂😂😂😂
usemi ni huu hapa👇👇👇👇Jiwe ana usemi gani kuhusu hzo hela[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
is that construction board😂😂😂 hvi ww unafkiri hii ni nairaland
mumeona construction board wanjala kaleta😂😂😂😂😂😂😂😂 sinilisema humu jana hamkuamini mumeona sasa
Hospital in Kilifi KenyaUko sahihi,ivyo vifaa na hao watoa huduma lazima wafanyie kazi zao kwenye jengo lenye hadhi...utajizungusha sana lakini hutaweza kukubali
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Hata ikihangaika na boards ujue ujenzi umeanza.mumeona construction board wanjala kaleta😂😂😂😂😂😂😂😂 sinilisema humu jana hamkuamini mumeona sasa
ujenzi umeanza wapi unafkiri humu ni nairaland utafanya watu wapuuzi kwa taarifa yako sisi tunawatu kila pemebe ya kenya ww utadanganya nn hapa😂😂😂😂😂😂 mm nakwambia wanjala na nina kuhakiakishia ujenzi haujaanaza na hamuna ndoto hio kwa sasa yaweke maneno yangu kama akibaHospital in Kilifi Kenya
Hata ikihangaika na boards ujue ujenzi umeanza.
Utakuwa mjinga tu kutafuta board huku umeonyeshwa uhalisia.
Board yaweza kuwa hata Westlands ama CBD ama South C Nani anajua mahali ipo!?
Nilifikiri we jamaa wa akili!?mumeona construction board ya wanjala kahangaika siku nzima kakosa kaona aje na picha za kuokota atoe machungu👇👇👇
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
View attachment 1443952
construction board inakaa site sehemu ambayo ni base ya contractors wewe usijifanye mwehu leo😂😂😂😂😂😂Hospital in Kilifi Kenya
Hata ikihangaika na boards ujue ujenzi umeanza.
Utakuwa mjinga tu kutafuta board huku umeonyeshwa uhalisia.
Board yaweza kuwa hata Westlands ama CBD ama South C Nani anajua mahali ipo!?
siku utanionesha construction board au tofali la ujenzi au site ya wakandarasi mm nafunga acc jamii forum mark my words😂😂😂😂Nilifikiri we jamaa wa akili!?
Sipendi wajinga. Echoboy I can't engage you ever again. I thought you are reasonable like Tuusan, Game over etc.
i see upperhill and CBD au nadanganya😂😂