Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hebu tuoneshe vzr hapo hakuna ujanja humu ndaniπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ushamkamata tayari [emoji3][emoji3][emoji3] hawa jamaa huwa wanatengeneza picha mradi tu wajifurahishe, ona ss ulivyomdaka anatia hata huruma [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
ngoja leo atuoneshe anasema yeye anaakili kuliko mzunguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwamba mzungu kuona slum nairobi na hakuziona dar ni kwamba hana akili
 
kwan kuna mkenya aneitakia tanzania maendeleo ?? bro adui wakwanza tanzania ni mkenya mark my words
Na nnachofurahi mkuluwole anajua hilo na analifanya kivitendo co km watangulizi wake walikuwa wanajua lkn utanzania ulikuwa unawaponza
 
Na nnachofurahi mkuluwole anajua hilo na analifanya kivitendo co km watangulizi wake walikuwa wanajua lkn utanzania ulikuwa unawaponza
kuna kipindi kikwete aliiua kq kisaikolojia baada ya kuzuia magari ya tanzania ya watalii pale jomo kenyatta na kikwete akapunguza safar za kq tanzania hapo ndipo loss ilipoanza kuwatafuna sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…