Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,153
- 107,721
Pia na hizi hazitajwiVitu amabavyo hamutaziskia tena zikitajwa humu 😂😂👇👇👇
1.Airport
2. Modern Bus stages and modern bus
3. General marine sector
4. Health care genaral
5. Footbal stadiums
6. Millionares
7. Airline
8. Super bridges
9. SGR
etc mutamalizia 👐👐👐👐
Kwn ikiwa paved lazima ikuwe kuwe na vidaleta recent clip with paved road!
HayatuhusuNyanya bwerere msife na njaa majirani
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
dah hii battle imekuwa yetu sisi kwa sisi sioni wakenya😂😂😂😂Akikuletea tu nitag😂😂😂
uyole, mbeya.. majiran msiwe na wasiwasi kuhusu chakula
View attachment 1410287
Mtakuja tu kununua huko kwenu njaa haikwepeki milele na milele!
mbona haifunguki?Luxury homes in mwanza 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
kdf vibaka....Tunaijua kenya sisi, kumbe watupu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unafikiria kdf wanaeza ingilia ishu km hzo kw sasa..
Gsu wanatosha, labda lockdown pengine
Sent using Jamii Forums mobile app
haifunguki mkuuLuxury homes in mwanza [emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Hapo kwenye #Akilizahandshake#Nyanya bwerere msife na njaa majirani
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala