mkuu hawa kunguni wakikenya tuwaache tu waendelee kujiurahisha kwa kujiita middle income..maendeleo madogo madogo kama haya ndo yatakuja kuwashangaza wazungu ‘enh walifikaje huku’?? .. the end will justify the mean
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji6][emoji6]nawastuck wazee wa GDPWakat huo huo huu ndio uchafu unaopatikana nairobi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1409091
Nakuambia hv mkuu najua pesa mtaani kwa ss imepotea kiasi na kweli asilimia kubwa ya wananchi wana hali tete lkn hatupigi kelele kwakuwa tunaona kinachofanyika, yn huyu Magu angelimrithi Mkapa baada ya kutoka madarakani nadhani tungelikuwa mbali sn leo hii, ila nnacho propose mm ni kwamba huyu Magu apewe muda fulani hv ata miaka 20 zen atoke cz nchi itakuwa tayari ipo vzr but akiendelea huyu Mzee hatuta enjoy tutajenga mpk makaburini [emoji3][emoji3][emoji3]mkuu hawa kunguni wakikenya tuwaache tu waendelee kujiurahisha kwa kujiita middle income..
tuendelee kuwaenjoy tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya bhn km mazuzu, wanapendaga kujifariji kwa kuiweka kenya na nchi ambazo hata haiendani nazo, hata kwenye matatizo watatumia kila liwezekanalo ili wajifariji, hawa watu ni wajinga sana, Eti Kenya, South Korea & the UK singled out, bac hapo mkenya kwa akili zake mbovu anafarijika kuona hvyo hata ikiwa ni disaster, poor Kunyans
[emoji23][emoji23] usilie babaWakenya bhn km mazuzu, wanapendaga kujifariji kwa kuiweka kenya na nchi ambazo hata haiendani nazo, hata kwenye matatizo watatumia kila liwezekanalo ili wajifariji, hawa watu ni wajinga sana, Eti Kenya, South Korea & the UK singled out, bac hapo mkenya kwa akili zake mbovu anafarijika kuona hvyo hata ikiwa ni disaster, poor Kunyans
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Nakuambia hv mkuu najua pesa mtaani kwa ss imepotea kiasi na kweli asilimia kubwa ya wananchi wana hali tete lkn hatupigi kelele kwakuwa tunaona kinachofanyika, yn huyu Magu angelimrithi Mkapa baada ya kutoka madarakani nadhani tungelikuwa mbali sn leo hii, ila nnacho propose mm ni kwamba huyu Magu apewe muda fulani hv ata miaka 20 zen atoke cz nchi itakuwa tayari ipo vzr but akiendelea huyu Mzee hatuta enjoy tutajenga mpk makaburini [emoji3][emoji3][emoji3]
Ila hawa wakenya wanapenda nyumba za mabati [emoji23][emoji23] Hadi katikati ya mjiWakat huo huo huu ndio uchafu unaopatikana nairobi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1409091
Sio km wanapenda ni maisha tu yamewachapa mkuu, unajua Afrika hapa cc watanzania tumshukuru sn Mungu japo tatzo letu kubwa ni viongozi kukosa uzalendo, lkn kuhusu maisha mzee nchi nyng Afrika hii raia wake wana struggle sn ucbabaike na vipicha vyao wanavyopost humu, wana maisha magumu mnooIla hawa wakenya wanapenda nyumba za mabati [emoji23][emoji23] Hadi katikati ya mji
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3] hatari sananyingine hii hapa..
Aisee very interesting me nkadhani China mzee
Ila hawa wakenya wanapenda nyumba za mabati [emoji23][emoji23] Hadi katikati ya mjiWakat huo huo huu ndio uchafu unaopatikana nairobi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1409091
Hauna uwezo wa ku host international games huo[emoji1787][emoji1787]Hahaha mwenzako wanjala ashajua ukweli ww bado unalazmisha sukari kua chumvi[emoji23][emoji23]
Ultramodern my foot[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona kuna kitu kinakuchanganya akili yako naona bado una ile akili ya critical beds kwamba ni ICU[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wasukuma bana[emoji1787][emoji1787]Isamilo mwanza[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1409085
Unawazimu wa kichwa wewe😂😂😂Hauna uwezo wa ku host international games huo[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
💉💉💉💉💉 imefika
Hii picha si kweli jaribu ku-search source ya hiyo picha!